TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

Bado ubwabwa upo?
Huyu ni mwislam mwenzetu lzm tukale ubwabwa.
Je kilichomuondoa uhai mpiga makofi ni kutumia kondoa au kutotumia kondomu?
Imani sawa. Tumia na sayansi
 
Tulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma PCM Tabora Boys

Baada ya hapo matatizo yakaanza
Kule alikopelekwa baada ya kupiga sirikale...ndio slimoanzia huo ugonjwa!
Mengine tujifunze kumezea tu!
maana ndio vile...kaisari naye yupo...
 
Bado ubwabwa upo?
Huyu ni mwislam mwenzetu lzm tukale ubwabwa.
Je kilichomuondoa uhai mpiga makofi ni kutumia kondoa au kutotumia kondomu?
Imani sawa. Tumia na sayansi
Mwezi wa Ramadhan huu tumezikabila ubwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…