nangundi ngushoro
New Member
- Aug 8, 2017
- 1
- 1
Waungwana
Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii
Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee Mwinyi kwa kitendo cha kuhimiza sijui matumizi ya kondomu ambayo ni kinyume na imani ya Kiislamu
Ndo tunajiandaa kwa mazishi mchana huu
Mwaka gani mlimaliza?Hapana mkuu labda umesahau kidogo nimesoma naye darasa moja PCM Tabora Boys!
Mwaka gani alimaliza Ilboru?Dah... maskini ibra... alinitangulia ilboru kidato kimoja... tulikua tukimuita ibra ngoma..... RIP ibra
Lol, sikuwahi kujua kama alikuwa smart hivi upstairs!Tulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma PCM Tabora Boys
Baada ya hapo matatizo yakaanza
Yule aliyempiga Judge Warioba siku nakufa jiji la Dsm litarindima kwa furaha
Alikuwa ni extremistMwinyi aende msibani kubariki siasa za kigaidi ?
Wote waongo nmesoma naye mm kule kantalamba.
Utakuwa upo sahihi
Nilikosea.....
Mimi mwenyewe nimesoma nae PCB Longido Sec - Arusha [emoji41]Hapana mkuu labda umesahau kidogo nimesoma naye darasa moja PCM Tabora Boys!
nilisoma naye mimi loleza aisee acheni uongoHapana mkuu labda umesahau kidogo nimesoma naye darasa moja PCM Tabora Boys!
Kule alikopelekwa baada ya kupiga sirikale...ndio slimoanzia huo ugonjwa!
Mengine tujifunze kumezea tu!
maana ndio vile...kaisari naye yupo...
Kama wewe umemuelewa inatosha. Hata teja anaelewana sana na teja mwenzake.We mgomvi, mbona jamaa kaeleweka!?
Tulisoma wote Umoja Primary School Mabibo
O level kasoma Ilboru
A level kasoma PCM Tabora Boys
Baada ya hapo matatizo yakaanza
Hakuna was kijitoa mhanga ampige JIWE?
Wakati yupo shule alikuwa mpole na mkimyaSema jamaa alikuwa na fujo sana mtaani ata wakati mwengine kupelekea kupigwa,pia kifo chake nimesikia kmetokana na fujo alianzisha mahali walikuwa hawajui kama ni chizi wakampiga na aliporudi nyumban kwao kalala hsubuhi kuamka amekutwa amekufa,ila sizan kama kipindi kile alipgwa sana maana surutan mara nyingi amekua yupo strong ukimuona na mtu wa hivi kama hujui ngumi umpgi kwan ananguvu zake.
Uchizi ni ugonjwa tu km magonjwa mengineLol, sikuwahi kujua kama alikuwa smart hivi upstairs!
Ukiunganisha dots unagundua huenda alikuwa mtu sahihi katika mazingira yasiyo sahihi ndio maana 'yakamchanganya'.
Mungu ampumuzishe panapostahihili
Tena kibao cha dharau sana 'kerb' ila Mzee wetu alimsameheHalafu lile halikuwa kofi, kilikuwa ni kibao, alimnasa mzee mwinyi kibao