Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Poleni sana, hii wizara pia inahudumia wanaume, ila bado wengi hawaamini, tuendelee kuelimisha, wasijione wapweke, waje kwenye wizara yao, na haki itatendeka pasi na ubaguzi wa kijinsia. Mungu akubariki π€Mama unaakili sana..
Mungu akubariki na kila kheri kwenye majukumu yako.
Sisi wanajme tunapitia mengi sana.
wakati mwingine lengo yawezekana ilikuwa ni kutoa aibu akazidisha au sio mzoefu kwenye tasnia ya ulevi na unywaji.Mume mtarajiwa anaenda kwenye send off akiwa kalewa chakari! Hii sio dalili njema,ikiwa siku muhimu kama hiyo kalewa chakari,itakuaje huko kwenye maisha ya ndoa?
Hivi kuna mtu humu anaweza kumuozesha binti yake kwa mume aliyekuja kwenye send off akiwa kalewa chakari? Hiyo ni heshima au dharau kwa familia ya mke mtarajiwa?
Amepewa tuzo coz hili tukio limeangaliwa upande mmoja,ingekua ni mimi ndiye mwenye mamlaka,hiyo tuzo ningewapa familia ya mke mtarajiwa na sio huyo mlevi.
Hujambo?Mambo ya kijinga ndio Yana tuzo,by the way huo ni muendelezo wa dharau tuu.
Umeamkaje mamaπ₯°Hujambo?
Tunafanya mambo mengi mbalimbali, sijawahi kukusikia ukitoa maoni au kushirikiana nasi, labda huwa hufuatilii tunapoyafanya. Karibu wizara yako ufuatilie tafadhali, hii ni Wizara ya Jinsi zote yaani wanawake na wanaume pia. Wanaume wengi wamepata na wanaendelea kupata huduma. Haya asubuhi njema na baraka kwako.
Bora wewe useme. Sisi 'angle' yetu ni moja tu hatutaki mambo mengi kuwa, katika mazingira hayo, kwa walio wengi, wao na ndugu zake na wapambe wengi, wangeanzisha zogo na mwisho wake ingeanza vurugu hapo na majeruhi wa ukatili kupatikana. Kitendo cha kuwa watulivu, ni hekima hiyo.wakati mwingine lengo yawezekana ilikuwa ni kutoa aibu akazidisha au sio mzoefu kwenye tasnia ya ulevi na unywaji.
Kumhukumu moja kwa moja sio vizzuri
Mzazi gani atakabidhi binti yake kwa mlevi? Jamaa hana nidhamu!Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto
Hongera sana kwako mheshimiwa waziri
Jamaa ni shujaa.Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto
Hongera sana kwako mheshimiwa waziri
Weww mama ninakukubali sana.Poleni sana, hii wizara pia inahudumia wanaume, ila bado wengi hawaamini, tuendelee kuelimisha, wasijione wapweke, waje kwenye wizara yao, na haki itatendeka pasi na ubaguzi wa kijinsia. Mungu akubariki π€
Hivi alianza kuelewa siku ile ile wa usiku wa sherehe ndiyo wakamjua? Walichumbiana siku ile ile kumbe? Hawakuchunguzana kabisa awali?Mzazi gani atakabidhi binti yake kwa mlevi? Jamaa hana nidhamu!
Mbona inaelezwa hadi wamezaa?Hivi alianza kuelewa siku ile ile wa usiku wa sherehe ndiyo wakamjua? Walichumbiana siku ile ile kumbe? Hawakuchunguzana kabisa awali?
Ubarikiwe, wachache walio na Imani nami, tutasonga mbele pamoja, huku tukipokea maoni ya wakosoaji wetu na kuyachuja na kuchukua yenye mashiko, na Yale mengine ambayo hayana mashiko, tukiyaacha mikononi mwa Mungu. Nakutakia asubuhi njema na heri. ππ½Weww mama ninakukubali sana.
Endelea kujitoa na kuisaidia jamii yetu
ππππΉπΏ Sijambo mwanangu, naendelea na safari yetu kwa maendeleo na ustawi wa jamii, twende pamoja nami tafadhali ππ½Umeamkaje mamaπ₯°
Amina mama.Ubarikiwe, wachache walio na Imani nami, tutasonga mbele pamoja, huku tukipokea maoni ya wakosoaji wetu na kuyachuja na kuchukua yenye mashiko, na Yale mengine ambayo hayana mashiko, tukiyaacha mikononi mwa Mungu. Nakutakia asubuhi njema na heri. ππ½
Tuko pamoja mamaππππππΉπΏ Sijambo mwanangu, naendelea na safari yetu kwa maendeleo na ustawi wa jamii, twende pamoja nami tafadhali ππ½
Mh waziri shkamoo,bila kukuchosha naomba nijaalie chochote kwenye lipa namba ya tigo 7410514,sijatia kitu kinywani kwa saa 36 zilizopita,nawaza kujitoa roho tu,hata kazi ya kubeba tofali nanyimwa,natanguliza shukuraniHujambo? Sasa tunapopambana na ukatili Sababu ya watu wanaoshindwa kudhibiti hasira sijawahi hata kukusikia. Leo mtu mmoja amezishinda hasira, hajafanya ukatili, katuachia amani, tunataka tumpongeze, napo unapinga.
Kwa kuwa hata kwenye mapambano ya kudhibiti na kutokomeza ukatili sijawahi kukusikia, nadhani maoni yako nayo nimeyasoma halafu siyatekelezi, tuzo tutampa tu Ili wengine waone kuwa, inawezekana kudhibiti hasira na kutofanya ukatili wa kijinsia.
Kumbe wewe wasema ni mlevi na alilewa? Halafu akaishinda hasira? Na walevi wengi hushindwa na hasira na kufanya ukatili? Basi kumbe huyu ni Shujaa zaidi, anastahili PONGEZI zaidi.
Haya asubuhi njema na heri kwako.
Kwakweli mama hongera sana mimi siko kwenye hii mada ya leo ila nakupongeza kwa ujasiri wa kuwa mitandaoni kwa uwazi bila kujificha huku ukipokea maoni yote hata yale mabaya. Tunao mawaziri wengi humu ila wengi akiandika uzi ndio harudi tena kujibu.Hongera sanaππππΉπΏ Sijambo mwanangu, naendelea na safari yetu kwa maendeleo na ustawi wa jamii, twende pamoja nami tafadhali ππ½
Acha ujinga huu dogoMh waziri shkamoo,bila kukuchosha naomba nijaalie chochote kwenye lipa namba ya tigo 7410514,sijatia kitu kinywani kwa saa 36 zilizopita,nawaza kujitoa roho tu,hata kazi ya kubeba tofali nanyimwa,natanguliza shukurani
UpoAaaah hata ingekuwa wewe unaolewaje na mwanaume wa vileπ€£π€£π€£
Kachachuka balaaπ
Kwani kabla ya sendoff hamkujua ni mlevi au ni unafki tu, kwa kauli za ajabu ati ametuaibisha.Mume mtarajiwa anaenda kwenye send off akiwa kalewa chakari! Hii sio dalili njema,ikiwa siku muhimu kama hiyo kalewa chakari,itakuaje huko kwenye maisha ya ndoa?
Hivi kuna mtu humu anaweza kumuozesha binti yake kwa mume aliyekuja kwenye send off akiwa kalewa chakari? Hiyo ni heshima au dharau kwa familia ya mke mtarajiwa?
Amepewa tuzo coz hili tukio limeangaliwa upande mmoja,ingekua ni mimi ndiye mwenye mamlaka,hiyo tuzo ningewapa familia ya mke mtarajiwa na sio huyo mlevi.