gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Niko serious,watu hudhani utani hadi mtu ajitundike ndiyo huuma vidole kwa kujutiaAcha ujinga huu dogo
Shukrani, ahsante kwa mrejesho, endelea kuelimisha wengine kuwa, wizara yao ipo kwa ajili yao 🙏🏽Amina mama.
Nashukuru ulifanyia kazi kero niliyoileta kwako.
Barikiwa mnoo
Bora muulize nyie ndugu zangu kuhusu je awali haya madhaifu hayakujulikana ?. Mimi nauliza huenda labda kuna sentensi fulani naisahau ndiyo maana wengine wanakuwa hawanielewi. 🙏🏽🇹🇿Kwani kabla ya sendoff hamkujua ni mlevi au ni unafki tu, kwa kauli za ajabu ati ametuaibisha.
Huyo mke alotaka kumuoa hajui mumewe anakula vyombo, mbona kamkubali, mbona mahari ya mlevi wameila!! ??
Acha chapombe apewe tuzo, na bila shaka tuzo inakua na kipozeo kidogo, hicho akitumie kugida lager nyingine akili ikae sawa
Nilipoona like za kutosha ghafa nimerudi kuangali mchangiaji nilikuwa sahihiKweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.
Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto
Hongera sana kwako mheshimiwa waziri
Karibu ndugu yangu na wewe changia neno tafadhali. Tuko kwenye elimu kwa umma, Jukwaa la wazi bila makasiriko. 🤝Nilipoona like za kutosha ghafa nimerudi kuangali mchangiaji nilikuwa sahihi
Kama uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo,basi endeleeni tu kutoa tuzo kwa walevi ili kujenga jamii iliyo bora na yenye maadili mema.Kwani kabla ya sendoff hamkujua ni mlevi au ni unafki tu, kwa kauli za ajabu ati ametuaibisha.
Huyo mke alotaka kumuoa hajui mumewe anakula vyombo, mbona kamkubali, mbona mahari ya mlevi wameila!! ??
Acha chapombe apewe tuzo, na bila shaka tuzo inakua na kipozeo kidogo, hicho akitumie kugida lager nyingine akili ikae sawa
Wanawake tuna huruma sanaaa🤣Kuweni na huruma
Karibu ndugu yangu na wewe changia neno tafadhali. Tuko kwenye elimu kwa umma, Jukwaa la wazi bila makasiriko. 🤝
🤣🤣🤣🤣Muheshimiwa cjui km ndio mkwe wake yule anachachuka vile ,hv angemwozesha binti yake 😅😅
Acha tutoe tuzo kwa vijana wasioendeshwa kwa hisia bali utashi na maarifa.Kama uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo,basi endeleeni tu kutoa tuzo kwa walevi ili kujenga jamii iliyo bora na yenye maadili mema.
Mimi swala langu Huwa ni Moja,kazi hasa ya Wizara hii ya Makundi maalumu Huwa ni ipi?Pole Sana na hongera Sana kwa hekima, PM au sms 0765345777
Hatutoi tuzo kwa walevi, hiyo ni content yako wewe. Sisi tunatoa ya "...bila jazba inawezekana"Kama uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo,basi endeleeni tu kutoa tuzo kwa walevi ili kujenga jamii iliyo bora na yenye maadili mema.
Kama DR HUYU DADA YETU GWAJIMA NA MZEE BUTIKU NA MZEE WARIOBA KIDOGO NAFUUWatajee mkuu
Hujambo? Changamoto yako moja husomi taarifa za wizara na hujaelewa wizara zenyewe ziko ngapi. Kwanza ufahamu kuwa, kuna wizara rasmi ya wenye ulemavu inaitwa wizara ya kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu. Iko ofisi ya Waziri mkuu na waziri wake yupo, nenda ka google.Mimi swala langu Huwa ni Moja,kazi hasa ya Wizara hii ya Makundi maalumu Huwa ni ipi?
Ukirejea Mitaani Kuna maelfu ya walemavu hawajatambuliwa,Wagonjwa wa Magonjwa Sugu wanatembea na kadi na barua za Ustawi wa Jamii kuomba omba ,
Watoto wa Mitaani(hapa I can spare).
Ushauri: Nyie Wizara ya Ustawi wa Jamii Kwa kushirikiana na Wizara ya Afya,fanyeni kuratibu Zoezi la kuwatambua watu wote wenye ulemavu wa kudumu,watu wote wenye magonjwa Sugu na wasio na uwezo wa matibabu then mlete gharama za kuwatibu,mpange Bajeti na mlete kwenye jamii kuchangia kama vile zile kampeni za Madaktari wanawake,Mabenki nk wanavyofanya kupata hela za kusaidia wasiojiweza.
Hii ya kuwapa watu barua wanazunguka unakuata ana uvikbe mkubwa anasaiidiwa buku buku hamuwasiadii,chukua huu ushauri utakuja kunishukuru.
Hujambo? Ahsante Sana kwa Pongezi. Mimi nipo na nitaendelea kuwepo hata baada ya uwaziri kwani ni vizuri kushirikiana na jamii daima.Kwakweli mama hongera sana mimi siko kwenye hii mada ya leo ila nakupongeza kwa ujasiri wa kuwa mitandaoni kwa uwazi bila kujificha huku ukipokea maoni yote hata yale mabaya. Tunao mawaziri wengi humu ila wengi akiandika uzi ndio harudi tena kujibu.Hongera sana
Mkatae mapema, ni hatari sana kucheza na hisia za mwingine.
Hio tuzo ina thamani ya kiasi gani ama ni maneno matupu😂Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto
Hongera sana kwako mheshimiwa waziri