Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Halafu naye na wapambe wake wangeamua vinginevyo wakaanzisha vurugu na kuumizana wote humu mngekuja na maswali waziri au wizara ina mpango gani ukatili umezidi. Tukihamasisha utulivu na kudhibiti jazba kwa mifano hai napo hamtaki...Ukijadiliana na nyapara madhara ya ndoa.
Ukifanya uhalifu unashtakiwa kwa sheria.
Binafsi simtazami huyo kijana kama shujaa anayestahili tuzo kwa kutokufanya uhalifu baada ya kuadhibiwa kwa makosa yake ya kutoheshimu wazaza wa mchumba wake.
Katika hili sikusapoti Mh waziri ila hongera kwa kazi nzuri katika mengi unayoyafanya kwa nchi yako.Halafu naye na wapambe wake wangeamua vinginevyo wakaanzisha vurugu na kuumizana wote humu mngekuja na maswali waziri au wizara ina mpango gani ukatili umezidi. Tukihamasisha utulivu na kudhibiti jazba kwa mifano hai napo hamtaki...
Hiyo kitu si rahis kama watu wanavyodhani, especialy society yetu ambayo haina huruma na mwanaume akipatwa na matatizoYule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto
Hongera sana kwako mheshimiwa waziri
Hongera kwako mwamba uliyekataliwa siku ya harusi
Bora wewe unayefuatilia pande zote, tuendelee kuwavumilia watoa maoni kwa huku wamesikia upande mmoja tu. Ndiyo Dunia yenyewe imeshajiweka hivyoAlafu mnaosema jamaa sijui alikua chakari mlimsikia yule mwanamke wakati anahojiwa? We mwanamke ana kiburi dunia hakuna alafu pembeni kuna mama yake ndio anamjaza maneno kabisaaa
Tumpe binti tuzo ya kiburi.Alafu mnaosema jamaa sijui alikua chakari mlimsikia yule mwanamke wakati anahojiwa? We mwanamke ana kiburi dunia hakuna alafu pembeni kuna mama yake ndio anamjaza maneno kabisaaa
Mama naomba vocha ninashida sina salioBora wewe unayefuatilia pande zote, tuendelee kuwavumilia watoa maoni kwa huku wamesikia upande mmoja tu. Ndiyo Dunia yenyewe imeshajiweka hivyo
Ingetokea Tarime kanda maalumu ingekuwa vitaHiyo kitu si rahis kama watu wanavyodhani, especialy society yetu ambayo haina huruma na mwanaume akipatwa na matatizo
Nampongeza the guy jinsi ame handle hiyo heart break, else tungekuwa tunaongelea kesi zingine za mauji
Mkuu,sio kila jambo ni lazima kila mtu awe amelishudia ndio alifahamu zaidi,Dunia ni kama kijiji,😀Mlikuwepo au taarifa ni hizi hizi za kuambiwa online
😂😂Mm natumia Pombe. Nakunywa Camino dry au Absolute. Ila siku namkabidhi binti yangu halafu aniletee kijana kalewa eti nimkabidhi watafanya sherehe ya ndoa kwenye ofisi za serikali za mitaa ili wapewe na tuzo kabisa huko huko.
Sas hiyo ni Tuzo au kifuta ‘machozi?’Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.
Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Kumbe wewe wasema ni mlevi na alilewa? Halafu akaishinda hasira? Na walevi wengi hushindwa na hasira na kufanya ukatili? Basi kumbe huyu ni Shujaa zaidi, anastahili PONGEZI zaidi.
Jifunze kudhibiti njaa mkuu! Kwani waziri asingekuja kucomment ungemuomba nani??Mh waziri shkamoo,bila kukuchosha naomba nijaalie chochote kwenye lipa namba ya tigo 7410514,sijatia kitu kinywani kwa saa 36 zilizopita,nawaza kujitoa roho tu,hata kazi ya kubeba tofali nanyimwa,natanguliza shukurani
Kumuozesha kwa mlevi ni jambo la kwanza,. Jambo la pili ni mlevi kutokulipa kisasi kwa kunyang'anywa make,, hivo mlevi kapewa tuzo kwa kutokuruhusu pombe na hisia zimwendeshe Kisha amjeruhi bibi harusi na baba mkwe ,. ,,Mume mtarajiwa anaenda kwenye send off akiwa kalewa chakari! Hii sio dalili njema,ikiwa siku muhimu kama hiyo kalewa chakari,itakuaje huko kwenye maisha ya ndoa?
Hivi kuna mtu humu anaweza kumuozesha binti yake kwa mume aliyekuja kwenye send off akiwa kalewa chakari? Hiyo ni heshima au dharau kwa familia ya mke mtarajiwa?
Amepewa tuzo coz hili tukio limeangaliwa upande mmoja,ingekua ni mimi ndiye mwenye mamlaka,hiyo tuzo ningewapa familia ya mke mtarajiwa na sio huyo mlevi.