Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

Kwamba atumike mtu mwingine kumkomoa mtu mwingine? Unajua huyo atakayeolewa kwa bahati mbaya ataenda kuipata “shege “ gani huko ndoani?

WaTz kitu kinaitwa “healing” hatukijui kabisa?

Mama Gwajima kazi kwako, kwa staili hii ustawi wa jamii hatutakaa tuupate, people are sick!
Haya ni maoni tu na maoni hupita kwenye chekecheke la kitaalam na siyo yote huchukuliwa. Tuvumiliane tu tuendelee kutoa maoni ahsanteni sana
 
Mkuu,sio kila jambo ni lazima kila mtu awe amelishudia ndio alifahamu zaidi,Dunia ni kama kijiji,

Hiyo Online ndipo Dunia ilipo kwasasa,ndio maana hata hii issue tunaijadili Online.
Ohhh ahsante Sana. Uzuri wake ni maoni yenu tunayalinganisha na taarifa halisi rasmi kutoka saiti. Ahsanteni sana kwa ushirikiano wenu 🙏🏽
 
Jifunze kudhibiti njaa mkuu! Kwani waziri asingekuja kucomment ungemuomba nani??
Mbona mnamaind sana mi kumuomba waziri wangu wazee!?..shida nini!?..wewe endelea kumjadili mlevi alokosa mke,mi nafikisha njaa zangu nionje mshahara na marupurupu ya uwaziri
 
Sas hiyo ni Tuzo au kifuta ‘machozi?’
Au Tuzo imepata tafsiri mpya?
Amepewa tuzo kwa kukimbiwa? Kwanini amekimbiwa?
Baada ya kukimbiwa alitakiwa achukue ipi na yeye akachukua ipi? Je, ni kwa sababu ya ujasiri, maturity au udhaifu?
Kama alitarajiwa kuchukua hatua fulani lakini hakuichukua hatua hiyo na wewe ukamzawadia, tagsiri yake ni kwamba ndani yakamii kuna tatizo kubwa sana. Je umefanya interventions zipi kama jitihada za kuiokoa jamii dhidi ya hilo tatizo? Au tutarajie utalitokomeza tatizo kwa njia ya Tuzo?
Maswali mazuri kabisa. Jibu moja tu ni kuwa, tunaposoma shule huwa tunapewa na best practices mfano unafanya kilimo, utaambiwa historia na mifano mizuri ya kilimo mahali penye changamoto ya mvua. Hivyo, huyu anaweza akawa ni mfano mzuri wa jinsi ya ku control emotional reaction unapokuwa umekutana jambo ambalo mwingine angeweza kuleta maafa au jambo baya.

Msemeni msemavyo ila hapa kawashinda wengi. Tusiwe wachoyo
 
Yani Waziri unatoa tuzo huku hujui kwamba mhusika alikuwa kalewa ?

Unawezaje kulivalia njuga suala ambalo hujapewa comprehensive briefing of all the relevant facts na uka act in behalf of government ?????

Do your homework, for one. And for two, hatutaki tuzo kwa walevi waliodhibiti hasira! Tunataka usikwepe the more substantive and pressing issues za ukatili wa kijinsia.

Afande aliye mastermind dada wa Yombo Dovya arepiwe mtungo bado yuko jeshini ? Tuanzie hapo kwanza.

If you got balls to fight gender cruelty mshauri Commander in Chief amwagize Chief of Defense Forces and Director of Public Prosecution wamlete mahakamani afande aliyeagiza the unspeakably brutish, caught-on-camera, nation-jolting gang rape and sodomy of the Yombo Dovya woman.

So far umesema nini kwenye hilo ? Least you could do is issue a categorical condemnation and promise to bring the dastardly criminal officers of JWTZ to justice.
Acha hasira kwanza ndugu Ili nielewe hoja yako vema
 
Mzee hasira hasala kumbuka kama ni mimi ndo jamaa huyo demu akitaka kuludi ajue atakuwa sogeza tuishi nakuna ndoa tena kama ndoa labda garama afanye yeye na akiludi ni kumpigisha watatu faster ili akili zimkae vzr sawa
Siku hizi gharama wawe wanalipa wanawake wamekuwa hawaeleweki hawa watu, kukutia hasara wao sio tatizo kabisa.

To yeye au nasema uwongo
 
Waziri anayefanya kazi yake bila stress.... Life doesn't have to be too serious
Mwanangu hujambo? Maisha yanaanzia pale unapoamua kuachana na stress zisizo za lazima na kukubaliana na walimwengu wanavyokuona ingawa wao pia hawapendi uwaone unavyowaona, basi unajikuta na amani zako na wao na amani zao maisha yanaendelea😄
 
Kumuozesha kwa mlevi ni jambo la kwanza,. Jambo la pili ni mlevi kutokulipa kisasi kwa kunyang'anywa make,, hivo mlevi kapewa tuzo kwa kutokuruhusu pombe na hisia zimwendeshe Kisha amjeruhi bibi harusi na baba mkwe ,. ,,
Huyo mlevi hajadhibiti hasira zozote hapo coz ametambua kosa alilolifanya,hata hao jamaa zake itakua waliondoka kwa fedheha kubwa sana huko ukweni,

Unakutwa na kosa ambalo na wewe unajua kua hili ni kosa umefanya,hizo hasira za kutaka kulipa kisasi zinatoka wapi?

Mtu aliyelelewa kwenye maadili mema au anayetoka kwenye familia inayojitambua,hawezi kwenda kwenye send off akiwa kalewa chakari,

Root cause ya yote hayo ni jamaa kwenda akiwa kalewa chakari full stop.
 
Huyo mlevi hajadhibiti hasira zozote hapo coz ametambua kosa alilolifanya,hata hao jamaa zake itakua waliondoka kwa fedheha kubwa sana huko ukweni,

Unakutwa na kosa ambalo na wewe unajua kua hili ni kosa umefanya,hizo hasira za kutaka kulipa kisasi zinatoka wapi?

Mtu aliyelelewa kwenye maadili mema au anayetoka kwenye familia inayojitambua,hawezi kwenda kwenye send off akiwa kalewa chakari,

Root cause ya yote hayo ni jamaa kwenda akiwa kalewa chakari full sto.
Unafikiri mwanamke hajui kama mchumba wake ni mlevi!?


Wameachanishwa,hawajaachana,naamini hivo , !?
 
Back
Top Bottom