Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

Mheshimiwa raisi, Mama Samia Suluhu Hassan, sisi wanawake tuna Imani sana na wewe, tutakupa kura zetu zote za urais mwaka 2025 ila kuna mambo machafu sana yanayofanyika katika serikali yako.

Sisi wanawake wa Tanzania tumesikitishwa sana na mauaji ya kijana mdogo mkazi wa kata ya Mabibo kitongoji cha Soweto yaliyofanywa na watu
Sungu sungu wamefanya jambo la maana, hao vibaka wakipelekwa jela wakitoka wanakuwa washenzi mara 2 dawa yao ni kuwapeleka kuzimu tu hakuna namna.
 
Mheshimiwa raisi, Mama Samia Suluhu Hassan, sisi wanawake tuna Imani sana na wewe, tutakupa kura zetu zote za urais mwaka 2025 ila kuna mambo machafu sana yanayofanyika katika serikali yako.

Sisi wanawake wa Tanzania tumesikitishwa sana na mauaji ya kijana mdogo mkazi wa kata ya Mabibo kitongoji cha Soweto yaliyofanywa na watu wana
Mleta mada unajua ni damu ngapi zimemwaga na hao vibaka? Unajua wangapi wamepoteza Maisha sababu za hao vibaka?
Watu wamepoteza mali kiasi gani kwa kukabwa na hao vibaka?

Vibaka si watu wa kuwatetea hata kidogo dawa yao ni kuwamalizia mbali.
 
Hance nioneshe sheria inayoruhusu sungu sungu waue?

Kijana huyu aliuawa barabarani baada ya kupigiwa simu
 
Mheshimiwa raisi, Mama Samia Suluhu Hassan, sisi wanawake tuna Imani sana na wewe, tutakupa kura zetu zote za urais mwaka 2025 ila kuna mambo machafu sana yanayofanyika katika serikali yako.

Sisi wanawake wa Tanzania tumesikitishwa sana na mauaji ya kijana mdogo mkazi wa kata ya Mabibo kitongoji cha Soweto yaliyofanywa na watu
Poleni.

Mimi nishavamiwa na vibaka mara tatu. Huwa nikiona watu wanamshughulikia kibaka nawaongezea na mafuta taa kabsa.

Vibaka walinipiga mabapa ya mgongoni home kwangu mpaka nikasanda. Usipowawahi wao hawana huruma.

Mnalea vibaka hatuishi kwa amani.
 
Mastakiraja wewe hakimu wa mahakama gani? Hivi nchi hii kila mtu akijichukulia sheria mkononi kutakuwa na amani? Polisi, mahakama ,magereza wana kazi gani?
 
Back
Top Bottom