Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

Sungu sungu wamefanya jambo la maana, hao vibaka wakipelekwa jela wakitoka wanakuwa washenzi mara 2 dawa yao ni kuwapeleka kuzimu tu hakuna namna.
 
Mleta mada unajua ni damu ngapi zimemwaga na hao vibaka? Unajua wangapi wamepoteza Maisha sababu za hao vibaka?
Watu wamepoteza mali kiasi gani kwa kukabwa na hao vibaka?

Vibaka si watu wa kuwatetea hata kidogo dawa yao ni kuwamalizia mbali.
 
Hance nioneshe sheria inayoruhusu sungu sungu waue?

Kijana huyu aliuawa barabarani baada ya kupigiwa simu
 
Poleni.

Mimi nishavamiwa na vibaka mara tatu. Huwa nikiona watu wanamshughulikia kibaka nawaongezea na mafuta taa kabsa.

Vibaka walinipiga mabapa ya mgongoni home kwangu mpaka nikasanda. Usipowawahi wao hawana huruma.

Mnalea vibaka hatuishi kwa amani.
 
Mastakiraja wewe hakimu wa mahakama gani? Hivi nchi hii kila mtu akijichukulia sheria mkononi kutakuwa na amani? Polisi, mahakama ,magereza wana kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…