Huyo dada anatakiwa atafutwe awataje vibaka wote anaowajua kama angekua anampenda sana angemuonya aache kazi ya wizi, inaonekana yeye ndo anawalea hao vibaka.Kibaka auliwe tu! Tena auliwe kimya kimya kwa maumivu makali kama kumchoma moto.
Haiwezekani watu tunahangaika kufanya kazi alafu fala mmoja anataka kuchuma kiulaini..
Tena wewe Lady Mwali unatakiwa upigwe vibao akili ikukae sawa.
Huwezi tetea kibaka hata kama ni mme wako
Huyo dada anatakiwa atafutwe awataje vibaka wote anaowajua kama angekua anampenda sana angemuonya aache kazi ya wizi, inaonekana yeye ndo anawalea hao vibaka.
Wakikuotea hao ukileta utata wanakushaya wena 😅!Aisee hao vibaka wamburahati nihatari sana waogope, kwanza wao wenyew wanamazuna wakikutait ukileta mgomo hata kdg unaweza shangaa washapita na vidole na utaibiwa na hamna msaada wwte utakaopata
Hao mama zao wanajua tabia zao ila ndo hivo wanawatetea kwa sana wacha iwe fundisho kdg sababu walishajiona miungu watu yani watu wanakaba mchana kweupe as if ni jambo lakawaida.
Sisi mitaani kwetu ndio sheriaHance nioneshe sheria inayoruhusu sungu sungu waue?
Kijana huyu aliuawa barabarani baada ya kupigiwa simu
Mtaani kwenu nje ya Tanzania?Sisi mitaani kwetu ndio sheria
USSR
Sheria ipi inaruhusa mtu awe kibaka? kwani ni yeye ndie kijana tu huko? Mbona wenzake wasiathibiwe? MFICHA ugonjwa kifo kinamsubiri.Kuna mtaa walifuatwa mchana kweupe wakacharangwa mapanga na wazazi wao wanaangalia. Hakikisheni vijana wenu WASIJEUKE KUWA VIBAKA WATAISHIA KUUWAWA KWANI PIA NAO HUUWA bila sheria ktk hiyo kazi yaoUSSR nionenye kifungu Cha sheria kinachosema adhabu ya kibaka kuuawa
Hiyo haijalishi mama PGO ya mtaa inasema kama ni kibaka lazima auliwe mapema kabla hajaleta madhara makubwaVon wewe ni hakimu? Haya ndio kibaka... nioneshe kifungu cha sheria kinachowapa sungusungu wafanye mauaji? Tena kijana huyo hajakutwa eneo la tukio,hakuwa na silaha.... polisi,mahakama wana kazi gani?
Dada mimi nimekuwa mtumishi wa serkali miaka 20 Sasa nimeona mengi sana ,vibaka SEMA akiuwawa ni heshima ya mtaaMtaani kwenu nje ya Tanzania?
Hao wanatakiwa ku deal na ishu kubwa kubwa, hizi ishu ndogo ambazo zipo ndani ya uwezo wetu tunamalizana nazo wenyewe. Sheria ya Mtaa inasema Kama mtu ni Kibaka adhabu anayostahili ni KIFO, Ukitaka kuthibitisha anza udokozi hapo mtaani. Na ukitaka kufahamu mimi ni hakimu wa Mahakama gani jaribu kuninyang'anya mali yanguMastakiraja wewe hakimu wa mahakama gani? Hivi nchi hii kila mtu akijichukulia sheria mkononi kutakuwa na amani? Polisi, mahakama ,magereza wana kazi gani?
Inaonekana hujawahi kuibiwa mkuu kaa kwa kutulia, halafu mbona unatetea sana au na wewe ni mmoja wapo?Von wewe ni hakimu? Haya ndio kibaka... nioneshe kifungu cha sheria kinachowapa sungusungu wafanye mauaji? Tena kijana huyo hajakutwa eneo la tukio,hakuwa na silaha.... polisi,mahakama wana kazi gani?
Juzi kuna mtoto wa miaka kumi na 5 kadakwa anahamisha vitu ndani kwa MTU akaja mzee mmoja na panga akala kichwa chakeNipo upande wa hao sungusungu. Wewe ni ndugu wa huyo kibaka.
Ameshauawa wewe unalilia kifungu Cha Sheria!!! Kama una ndugu zako ambao Ni vibaka waambie waache Mara moja huku ukiendelea kutafuta hicho kifungu chakoHance nioneshe sheria inayoruhusu sungu sungu waue?
Kijana huyu aliuawa barabarani baada ya kupigiwa simu