Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Wanaume wengi sikuhizi wanaoa ili tu wapate Mlezi wa watoto lakini kwa HAKIKA hawafurahii ndoa

Wanawake wengi wanazingua sana...wamekuwa wababe na hawataki kuulizwa jambo

Ndio maana Wanaume wanashinda zaidi nje au kwingineko...Nyumbani ni pa kulala tu chap na kuamka kama vile lodge 🤣🤣
 
Upo sahihi mwanawane....hapa ni mwendo wakuwazalisha tuu
 
Kama kuna binti ana sifa za mwanamke A na anahitaji permanent relationship. I'm really ready for her[emoji7]
Wapo mkuu wengi tu na Tena hapa hapa Dar ukienda maeneo ya Vikindu huko au chanika ndani ndani huko unakutana nao wa kutosha.

Mimi mwenyewe nilikutana na mtoto wa Kindereko mwanzoni mwa mwaka huu na alikuwa Yuko tayari kuishi na Mimi hata kwenye pagala nililokuwa nimeachiwa kulilinda....

Yule mtoto alikuwa Hana mambo mengi sana sema nilimuamua kumtema kwa sababu nilihisi nitamtesa tu mbeleni kutokana na mipango niliyonayo, niliwaza siku nikiondoka nchini hapa ataishi maisha magumu mno.

So ikitaka kuwapata zungukia maeneo hayo hasa pembezoni mwa mji, hao huwezi kuwapata Sinza au Kijito Nyama.
 
Ila EX wa huyu mleta uzi lazima katoka sayari nyingine maana kajua kumuachia kaka wa watu donda la moyo...Ex limkute lolote
 
Hizi ndizo tabia haslisi za wanawake ijapokuwa wanaziadana kiwango.
 
Mkuu sio wewe uliyekata tamaa, hata mimi sioni kama ntakuja kuoa,nafkiria ni bora kuwa na watoto, niwe mlezi nkishirikiana na mama yao.
The same , kaka mim sio mtu wa wanawake, napenda kutulia na manz mmja tujenge maisha, ila sasa yaliyonikuta 🙌, tena huko,makanisani 🙌, kinachoniuma nipambane aje atokee bwege kashatumika huko wee alafu mim nutie mahali ndio niweke ndani?, thubutu yangu. BIG NO...hii iko moyoni kwangu kama alama.
 
Tena kama mabinti wanaotoka vyuoni🙌, wacheza porno, ma ex kibao, alafu umeshajipata zako , unakuja kukutan na mbwa hio👆, na mahali unatoa, unaoa jitu ambalo still lina mapenzi kwa ex wake huko.
Sometimes nahisi, mnapofunga ndoa na kuwekeana viapo mbele sijui ya viongozi wa dini na wazazi, sidhani kama MUNGU hutoa baraka pale naona huwa tunaigiza, ivi kweli MUNGU abariki ndoa huku akijua mioyoni mwa wanandoa kuna mmoja kaja kimaslahi na kutaka hifadhi tu?, kwahyo MUNGU nae ashiriki kwenye uongo wenu sio.
 
Sio kwa sababu wanaume wengi wamekua wakihusudu zaidi ngono kuliko upendo wa kweli?
Karne hii, mara nyingi mwanaume kwenye uchumba ukisema uweke upendo kwanza ngono baadae, utajikuta unagharamia mahusiano unatoa pesa nyingi, na muda, attention, halafu girlfriend wako ana-sex na mwanaume mwingine, ilhali kidume unabaki na upwiru wako, mahusiano ya hivyo ya upendo kwanza sex baadae , hlf yaje kuzaa ndoa iliofanikiwa, labda mtu ubahatike au Mungu awe kati Kelsea
 
Nachokiona ni kukosekana kwa upendo pande zote mbili.
 
Kuoa sio kwa kila mtu, muhimu ni kujitambua na kuelewa jinsi wewe ulivyo kama wanaume na wanawake. Kuna watu ni bora wazae na kulea watoto bila ndoa. Hili ni tatizo kubwa sana kwa vijana hasa wa kiafrika hatuwi ''Self Actualized''. Ukienda ulaya na Marekani kuna watu wanajijua kabisa mimi sio wa kuoa au kuwa na watoto. Sisi waafrika tunalazimisha mwishowe tunakuja kuleta matatizo katika jamii. Hata John Cena na Kamala Hariss wao wameamua kuwa hawataki kuwa na watoto kwa sababu wanajijua kuwa hawatoweza kuwalea vizuri.Hivi unajua Leonardo Di Caprio na Enrique Iglesias hawajawi kuishi kwenye ndoa Cha msingi ni kujitathmini je ninaweza kuishi na kustahimili ndoa. Kama hauwezi ni bora ukazaa na mkashirikiana kulea watoto. Kwa wanawake ujumbe wangu ni huu 'Ni rahisi kuwa hawara kuliko kuwa mke''. Maisha ya movie na mitandao hai-support maisha ya ndoa bali maisha ya wanawake kuwa mahawara. Dunia imehalalisha wanawake kuwa mahawara. Nilishangaa juzi kuona kuna mkuu wa wilaya amezaa bila ndoa, ana mpango wa kuja na kampeni ya kuwatetea ma single-mother wajawazito. Tunaelekea wapi kama jamii ? Hatuna uchumi kama wa Ulaya na Marekani kuhalalisha na kkuwabeba ma-single mother wa hiari.
 
Alafu wee ebu acha zako mie ujue nataka nikuoe basi tuu unajichelewesha wewe na watoto kwenda shule.
Wikend tutoke basi ata kwa dinner date mwaisa mrembo😜
Wewe si umesema wanawake ni wa kuzalisha tu hakuna kuoa. Hufai kabisa 😠
 
Wewe si umesema wanawake ni wa kuzalisha tu hakuna kuoa. Hufai kabisa 😠
Ah jamani bby hizi somjo tuu za hapa jf real life mie ndio husband material mwenyewe yaani nauzuri wako huo wa kimwaisa...nijitoka job tuu nakimbilia nyumba I niwe nawe.
Tena wee ukinizalia mtoto wa kwanza awe wa kike aisee nakununulia bodaboda kama zawadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…