Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Nguvu zipi za kiroho Mkuu fafanua vizuri hizi roho za Kwa Mwamposa au kwa Mashehe au za makanisani ??? Nguvu za mizimu na majini ?πŸ€”
 
Mwanadamu ana kawaida ya kuona zaidi kasoro za wengine kuliko za kwake.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Yaani hata sijui huwa inakuwaje lakini we are all humans and coping each other it is very tough. Sometimes when things are worse huwa inatupasa kubadilika tu
 
Wanawake wa kuoa bado wapo tatizo linaanzia kwetu tunataka mshape huo, awe pisi Kali + vidato vikubwa

Kitu ambacho ni mhimu zaidi tutafute waaminifu siyo wakamilifu
Mimi Nina miaka 24 nimepata binti 1997 anamiaka 27 na anamtoto wa miaka 5 anasema bwana wake alimpa mimba miaka hiyo 2019 na hajawah kuongea hadi Leo kwa mujbu wa mwanamke anasema hajui aliko mtoto a nalelewa na bibi yake mama ake binti
Lakini nilichokiona kwake kuna stage kashazivuka ametulia

Tatzo la hawa 2000 wenzangu kushuka chini Yan Kila naemtaka anakwambia umri bado wanataka wale bata kwanza so kwa hii situation utasemaje
 
Kwenye maamuzi yakuoa ushirikishe wazee mfano wanawake wanafahamiana vzr,
Kuhusu huyo mwanamke uliyemuelewa vuta pumzi Kwanza huo mlima ni mrefu mno kijana
 
Kwenye maamuzi yakuoa ushirikishe wazee mfano wanawake wanafahamiana vzr,
Kuhusu huyo mwanamke uliyemuelewa vuta pumzi Kwanza huo mlima ni mrefu mno
Sina mama alishafariki Ila baba Ila ndugu zake wale mama wakubwa wenyewe wanaamini mtu kuoa ni mpaka miaka 30 binafsi mimi tangu nimefikisha miaka 19 mara nyingi nakula bitches/malaya nashukuru Mungu nimekaribia kuvuka foolish age Yan miaka 25 Bila magonjwa ndio maana natamani niwe na mtu permanent Ila kwa hawa 2000 weng bado hawahitaji yale mapenz yakusettle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…