Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Niliona video yake akiungua aisee ni majuto kwa mkewe maana marehemu mwizi ana miliki pisi moja ya hatari imenyooka na mtoto mmoja mdogo.

Wezi wa siku hizi ni vijana smart kabisa ila ni tamaa tu za maisha mazuri pasipo kufanya kazi.
 
Wengi wanaodili na hio biashara huwa wanapewa mpaka order hadi 1.5

Dereva akiwa mlevi mlevi na mpenda nyapu hapo ndipo anawekewa Diazepam.
Sorry, Diazepam ndo nn?
Mimi huwa nikiona kuna watu siwaelewielewi huwa naenda kulala porini kabisa.
Asa ukienda kulala porin si ndo wataiba kila ktu mana wanajua porin hakuna wa kukusaidia
 
Porini teena miye nilijua polisi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…