Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Wizi ni kitu kibaya sana; achomwe tu hakuna namna. Kama mtu hujawahi kuibiwa unaweza kumuonea huruma lakini kwa wale tuliowahi kuibiwa tunafahamu fika uchungu wa kuibiwa unavyouma. Achomwe tu ili liwe fundisho kwa wezi wengine kama yeye.
Wacha wenye ujasiri wawachome tu ili kutuwakilisha sisi wengine ambao hatukubahatika kuwa na ujasiri huo. Binafsi siwezi kufanya hivyo.
 
Live Kuna siku nimepanda Mwendokasi nilikuwa na Kibegi cheusi Mgongoni na Pesa niliweka kwenye Wallet Ile kuingia Tu ndani ya Bus begi limefunguliwa na kusachiwa, kuangalia Sura zilizopo nyuma Yangu huwezi dhania hata mmoja wote ni wale vijana smart body ya Kishua watoto wa Posta ila waliambulia Maratasi ya Maaandazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Porini si ndo hatari
 
Wizi unalipa asikwambie mtu ila huu mdogo mdogo wa kukwapua kwapua huwa mwisho wake ni kuuwawa kinyama.
Ila wezi sa hiv wapo kasi sana....Moe hapa napoish Jana tu nmelala nasikia mtu anatembea usawa wa dirisha langu sa nane usiku nkajiongelesha we hata usijisumbue kunyata we tembea kwa nguvu me nipo macho nakusikia eeeh alitoka nduki
 
Ila wezi sa hiv wapo kasi sana....Moe hapa napoish Jana tu nmelala nasikia mtu anatembea usawa wa dirisha langu sa nane usiku nkajiongelesha we hata usijisumbue kunyata we tembea kwa nguvu me nipo macho nakusikia eeeh alitoka nduki
Nunua maji makali ya betrii za magari ili akianza kutoboa dirisha unamuogesha usoni.
 
Inaumiza sana, lakini huo ukatili we unaonaje, huu waliofanya ni ushetani ambao hata shetani mwenyewe hajaufikia bado, yaani devil anaomba poo mwenyewe
Ulitaka wampeleke polisi, alafu atoe pesa kule, atoke aingie tena mtaani kuliza watu.

Mfano huyu, alieibiwa IST, unajua amejipanga huenda miaka kadhaa, mpaka kufikia lengo leo amtoa 16,000,000 Ml zake kununua hata gari yenyewe hajatembelea, wezi waje waichukue kirahisi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…