January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.
Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"
Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.
CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.
Britanicca
bora mashimba ndakiJanuary Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.
Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"
Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.
CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.
Britanicca
Kwanza Huyo Hangaya wenu 2025 anatoboa?!January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.
Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"
Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.
CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.
Britanicca
Nakubaliana na wewe kwa asili mia moja. Uko sahihi kabisaaIla jamani kusema ukweli January Makamba is very incompetent to lead us
hahahahaaaaaaa . . . . . . ngoja timu pinzani itakapoanza kukabia juu ndio ataelewaKabisa mkuu. Anaupiga mwingi sana tozo, mikopo, mfumko wa bei, mgao wa umeme, kutoajiri, machinga kufurushwa, kuhimiza nauli zipande & cos.
Sasa hapo 2025 anatoboaje sasa?
Mama endelea kuupiga mwingi sisi wananchi tupo nyuma yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binadamu wanamacho lakini wanaishi kama vipofu,wanasikia lakini wanaishi kama viziwi,hii yote sababu ya tamaa.Binadamu siku zote hatoshekiKwani hio 2030 mna uhakika mtakuepo madarakani?
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za CCM za kiutamaduni, mgombea urais wa CCM wa 2030 atapaswa kuwa na sifa hizi tatu muhimu.
1. Mwanaume
2. Mtanganyika
3. Mkristo.
Kama Makamba au Ridhwani wana mpango wa urais mwaka 2030 kwa tiketi ya CCM, itabidi wabadili dini sasa na kuwa wakristo, yaani wabatizwe.
Ndio Rais wako huyo mwaka 2030, hutaki hama Nchi,Ila jamani kusema ukweli January Makamba is very incompetent to lead us
Kwani kwenye Katiba Kuna kipengele Cha dini na kuwa Rais, Bali inatokeaga tuHuyu february anaweza hata kusema yy ni mkristo kwa kutamani kile kiti.
Hivi akisema yy c muislam au mkristo itakuwaje????natania tu
Dikteta ndio hakuwai kuajiri kwa kipindi chake chote,Wala kupandisha madaraja kwa watumishi,Kabisa mkuu. Anaupiga mwingi sana tozo, mikopo, mfumko wa bei, mgao wa umeme, kutoajiri, machinga kufurushwa, kuhimiza nauli zipande & cos.