Kijana anayeutaka Urais 2030 na kujiona ana uwezo mkubwa wa kuongoza na pesa, ndiye anayeleta vita ya Mpina na Makamba

January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.

Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"

Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.

CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.

Britanicca

2030 - 2040 rais si mzanzibari?
 
Kweli makamba ameiba hela nyingi kwa ajili ya kujipanga na uraisi. Yeye ameona asitumie ile njia aliyotumia mwizi mwenzie ya kuchora mawe. Makamba yeye amedeal na watu mitandaoni,kote tred ni makamba makamba. Hawa ndio wanaotuharibia nchi yetu
 
January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.

Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"

Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.

CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.

Britanicca
bora mashimba ndaki
 
Kwanza Huyo Hangaya wenu 2025 anatoboa?!
Naona Kama una flight of ideas.
 
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za CCM za kiutamaduni, mgombea urais wa CCM wa 2030 atapaswa kuwa na sifa hizi tatu muhimu.
1. Mwanaume
2. Mtanganyika
3. Mkristo.

Kama Makamba au Ridhwani wana mpango wa urais mwaka 2030 kwa tiketi ya CCM, itabidi wabadili dini sasa na kuwa wakristo, yaani wabatizwe.
 
Kabisa mkuu. Anaupiga mwingi sana tozo, mikopo, mfumko wa bei, mgao wa umeme, kutoajiri, machinga kufurushwa, kuhimiza nauli zipande & cos.

Sasa hapo 2025 anatoboaje sasa?
Mama endelea kuupiga mwingi sisi wananchi tupo nyuma yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaaaaaaa . . . . . . ngoja timu pinzani itakapoanza kukabia juu ndio ataelewa
 
Badala mjibu hoja mnazoulizwa nyie mnakazania kuwa mnachukiwa....

Leteni majibu ya maswali anayoulizwa Makamba na sio kuleta porojo
 
Ahahahaaaa,Dunia simama nishuke,najiandaa kwa safari ya MARS,ngoja nijichange.
Nimechoshwa na siasa za duniani.
 
Huyu february anaweza hata kusema yy ni mkristo kwa kutamani kile kiti.
Hivi akisema yy c muislam au mkristo itakuwaje????natania tu
Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za CCM za kiutamaduni, mgombea urais wa CCM wa 2030 atapaswa kuwa na sifa hizi tatu muhimu.
1. Mwanaume
2. Mtanganyika
3. Mkristo.

Kama Makamba au Ridhwani wana mpango wa urais mwaka 2030 kwa tiketi ya CCM, itabidi wabadili dini sasa na kuwa wakristo, yaani wabatizwe.
 
Ila jamani kusema ukweli January Makamba is very incompetent to lead us
Ndio Rais wako huyo mwaka 2030, hutaki hama Nchi,

Nyie watu wa kanda ya ziwa mna roho mbaya Sana,japo sio wote, kwa suala la nafasi ya urais msahau kabisa kabisa,syteam tushajifunza mno
 
Huyu february anaweza hata kusema yy ni mkristo kwa kutamani kile kiti.
Hivi akisema yy c muislam au mkristo itakuwaje????natania tu
Kwani kwenye Katiba Kuna kipengele Cha dini na kuwa Rais, Bali inatokeaga tu
 
Kabisa mkuu. Anaupiga mwingi sana tozo, mikopo, mfumko wa bei, mgao wa umeme, kutoajiri, machinga kufurushwa, kuhimiza nauli zipande & cos.

Sasa hapo 2025 anatoboaje sasa?
Mama endelea kuupiga mwingi sisi wananchi tupo nyuma yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dikteta ndio hakuwai kuajiri kwa kipindi chake chote,Wala kupandisha madaraja kwa watumishi,

Sukuma gang bado mna maruweruwe ya kufiwa na mungu wenu,

Halafu wewe utakuwa bwabwa,Sasa hivyo vi-emoj umeweka vya Nini,
 
Back
Top Bottom