Una stress za kubutuliwa na sukuma gang kisha wakakutelekezaDikteta ndio hakuwai kuajiri kwa kipindi chake chote,Wala kupandisha madaraja kwa watumishi,
Sukuma gang bado mna maruweruwe ya kufiwa na mungu wenu,
Halafu wewe utakuwa bwabwa,Sasa hivyo vi-emoj umeweka vya Nini,
Ni aibu wewe Britanicca kuwa chawa wa mwanasiasa yeyote.January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.
Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"
Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.
CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.
Britanicca
Nimesema mi ni Chawa Au ntampigia kampeni akipitaNi aibu wewe Britanicca kuwa chawa wa mwanasiasa yeyote.
huna chakunifanyaNilishakupuuza siku nyingi na hizi thread zako za kufikirika.
Hujamwelewa Britanica wewe!!uzi imekaa kijicho la tatu zaid!Ni aibu wewe Britanicca kuwa chawa wa mwanasiasa yeyote.
Braza watu wa kanda ya ziwa are very compitent compared to you, wengi wenu ni wadhaifu kimaumbile na kiakili na hili nina ushahidi nalo sana, Mmekuwa kwenye mazingira yasiyowajenga kuwa wanaume kwelikweli maana wengi wenu ni vigeugeu ,wafuata mkumbo msioweza kusimamia mnachokiamini infact ni kama wanawake tu,Ndio Rais wako huyo mwaka 2030, hutaki hama Nchi,
Nyie watu wa kanda ya ziwa mna roho mbaya Sana,japo sio wote, kwa suala la nafasi ya urais msahau kabisa kabisa,syteam tushajifunza mno
aHujamwelewa Britanica wewe!!uzi imekaa kijicho la tatu zaid!
2025 tunapiga Chini ma CCMJanuary Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.
Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"
Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.
CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.
Britanicca
Machawa ya Makamba mna kazi sana!
Yaani anaupiga mwingi mpaka unatoka nje.heheheeeeeee . . . . . yaania anaupiga halafu hapo hapo hatoboi 2025. JF raha sana
Kuna uwezekano mkubwa sana 2030 Yesu atakuwa tayari amesharudi kulinyakua kanisaJanuary Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.
Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"
Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.
CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.
Britanicca
Kwanini usubirie usifanye sasa hiviHuyo mwezi dume JM, aliiba mitihani ya kidato cha nne Galanos back in the days tupo skuli pale,alikuwa mbele mimi nyuma vidato viwili. Ipo siku nitamlipua ngoja aje kuwa Raisi.
2025 ni CCM against WANANCHI.Pamoja na vyote hivyo hakuna Rais aliye deliver kushinda Samia,narudia tena hayupo..
Mengine ni uzushi wa kitoto.Nani atatoboa mbona hili swali mnakwepa kujibu?
Nani wa kusimama na Samia 2025?
Ni kweli ila sasa hivi CCM inapambana na wananchi.CCM ni zaidi ya uionavyo kwa macho yasio na muono. Kuna chama kipi cha upinzani cha kushidana na CCM hivi karibuni?