Kijana anayeutaka Urais 2030 na kujiona ana uwezo mkubwa wa kuongoza na pesa, ndiye anayeleta vita ya Mpina na Makamba

Dikteta ndio hakuwai kuajiri kwa kipindi chake chote,Wala kupandisha madaraja kwa watumishi,

Sukuma gang bado mna maruweruwe ya kufiwa na mungu wenu,

Halafu wewe utakuwa bwabwa,Sasa hivyo vi-emoj umeweka vya Nini,
Una stress za kubutuliwa na sukuma gang kisha wakakutelekeza
 
January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.

Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"

Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.

CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.

Britanicca
Ni aibu wewe Britanicca kuwa chawa wa mwanasiasa yeyote.
 
Kumwandaa Rais kwa mfumo was chama kimoja ilikuwa mwisho 2020.
Chukua awamu ya 5+6=
Mfumo wa TISS utatuletea mgombea bora toka chama chochote mwenye sifa nzuri zakuheshimu mazuri ya
Awamu ya 3.Ben
Awamu ya 4.Jk
Awamu ya 5 Pombe
Awamu ya 6.Hangaya.
Mazuri yakitaasisi ya Urais.Mnaodhani 2025 watapita,hamutawaona.Hata anayesema ni zamu yao hamtakujakumsikia.
 
Ndio Rais wako huyo mwaka 2030, hutaki hama Nchi,

Nyie watu wa kanda ya ziwa mna roho mbaya Sana,japo sio wote, kwa suala la nafasi ya urais msahau kabisa kabisa,syteam tushajifunza mno
Braza watu wa kanda ya ziwa are very compitent compared to you, wengi wenu ni wadhaifu kimaumbile na kiakili na hili nina ushahidi nalo sana, Mmekuwa kwenye mazingira yasiyowajenga kuwa wanaume kwelikweli maana wengi wenu ni vigeugeu ,wafuata mkumbo msioweza kusimamia mnachokiamini infact ni kama wanawake tu,

Nimeshangazwa sana kuleta dhana ya ukanda hapa ukizingatia sote tunajenga taifa moja, Sitegemei kusikia hizi kauli zinaligawa taifa sana halafu unajiita system ili kudhihirisha uwezo wako mdogo.
 
January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030.

Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana kuongoza na ana pesa Chafu sana, sasa najua tu walio nyuma yake watakuwa wanampiga vita Makamba Jnr ili kumchafua lakini hawajui Makamba ni Mgumu kama mpingo na anaaminika sana na "JOPPO"

Sasa kumaliza hii Vita mimi 2026 naanza Kuwagaragaza wote wasaka tonge na kuna mtu muhimu anatakiwa awe Rais wetu 2030 yeye ana uwezo wa kuwatuliza hao wawili wanaowindana sasa hivi, ingawa atalishangaza "JOPPO" lakini King Master minder (Mzee Kinana) ataliambia JOPPO kuwa fulani nayensema hapa anaweza maana Urais ni Taasisi atakuwa Ring-Fenced na kila Quality ya ushauri na uzuri Kijana huyo Kijana huyo kajifunza kutoka Kwa baba yake kuwa humble na anashaurika.

CCM hii hatutaki wasaka urais mapema.

Britanicca
2025 tunapiga Chini ma CCM
Qmamae, mnajiona hii Nchi ni Mali yenu
 
Kuna uwezekano mkubwa sana 2030 Yesu atakuwa tayari amesharudi kulinyakua kanisa
 
Huyo mwezi dume JM, aliiba mitihani ya kidato cha nne Galanos back in the days tupo skuli pale,alikuwa mbele mimi nyuma vidato viwili. Ipo siku nitamlipua ngoja aje kuwa Raisi.
 
Kwanini usubirie usifanye sasa hivi
 
Njaa mbaya sana. Unalipwa kutuletea uharo hapa
 
Uraisi wa Dili hatutakubali tena my friend
 
CCM ni zaidi ya uionavyo kwa macho yasio na muono. Kuna chama kipi cha upinzani cha kushidana na CCM hivi karibuni?
Ni kweli ila sasa hivi CCM inapambana na wananchi.

Sikumpenda mwendazake ila kwenye suala la propaganda alifanikiwa kwa kiasi kikubwa hadi kukubalika kwa wananchi.

Ila huyu aliyepo wananchi wamemchoka mapema kuliko ilivyotarajiwa.

Wapinzani kwa muda huu wanatakiwa wakae kando huku wakiimarisha mifumo yao ya ndani ili wananchi wanyooshwe kwanza na serikali hapo watajilesi wenyewe kuutafuta upinzani.

Wapinzani awamu hii wakienda kisayansi 2025 hata kama hawatachukua nchi ila watakuwa na wabunge wengi bungeni na huenda wakatoa waziri mkuu na hapo ndiyo ndipo zitakapozaliwa siasa mpya baada ya zaidi ya miaka 60 ya uhuru.
 
Back
Top Bottom