Kijana anayeutaka Urais 2030 na kujiona ana uwezo mkubwa wa kuongoza na pesa, ndiye anayeleta vita ya Mpina na Makamba

Pole sana,kunywa maji then relax ukiendelea kuwa na chuki hivyo hakika utajisababishia maradhi ya moyo
 
Kwenye siasa miaka 8 ni mingi sana kutabiri kiongozi
UNAOTA NDOTO ZA MCHANA!
Mingi sana, mingi sana, mingi sanaaaaaa, naunga mkono; kwenye siasa miaka 8 ni mingi sana.
 
Huyu mnaemsemaga huwa nawashangaa sana hata kujieleza hawezi
Mhh! Hata Mwinyi Jr kabla ya kuwa Rais wa Zanzibar, kauli kama hizo zilitolewa. Kumbe ukweli ni kwamba aliwekwa mbali na media kimkakati ili asipate kuchafuliwa na siasa za maji taka.
 
Yaani raia mnapiga mitikasi za 2030 utadhani uhai unachotwa kisimani...
 
Ndio Rais wako huyo mwaka 2030, hutaki hama Nchi,

Nyie watu wa kanda ya ziwa mna roho mbaya Sana,japo sio wote, kwa suala la nafasi ya urais msahau kabisa kabisa,syteam tushajifunza mno
Huo ukabila wako wa kuwachukia kanda ya ziwa koma kabisa. Hiyo ndio kanda ambayo kila mgombea urais anaipigania. Kama hamuitaki isuseni ende upinzani yote.
Nyambaf na ukabila wako
 
Ila hii nchi imeozaaa yani mpaka makamba watu wanamuona anafaa kuwa Rais wa jamhuri hehehe makamba huyu huyu. Nonsense
 
Hamtuwezi sasa hivi tupo bize na teuzi tumehamia chamani sasa mpaka 2024 tutakuwa tumemaliza teuzi nchi nzima.

Ikifika 2025 baada ya uchaguzi tu, Tunaanza Kujiandaa uchaguzi wa 2030.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…