Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We una akili kweli au umetumwa? Sisi tunazungumzia 2025 tunataka rais mpya wewe unatuambia 2030? Wacheni porojo kupotosha maboya. Sasa hivi ni kama nchi haina rais. Rais amekalia mipasho ya kiswahili.
Nchi inahitaji magufuli mpya haraka sana. Hamuoni chini ya mama nchi imeshuka kiuchumi toka uchumi wa kati. Tangu ameingia tumeona kila dalili za ubadhilifu na kutoa signal kwamba yeye ni laisse fair. Ameanza na kuparamia midege ya air tanzania kama usafiri wake mikoani. Dodoma hakai kila leo yuko dar. Halafu misafari ya nje eti kujijulisha kwa majirani. Halafu kuwaandama vijana wa jpm kama vile sabaya na kumfunga. Yote inatoa message kwa mafisadi wazembe micheti feki na wakwepa kodi kwamba 'sasa mnaweza anza'
Mingi sana, mingi sana, mingi sanaaaaaa, naunga mkono; kwenye siasa miaka 8 ni mingi sana.Kwenye siasa miaka 8 ni mingi sana kutabiri kiongozi
UNAOTA NDOTO ZA MCHANA!
Mkuu angalia usije ukajikojolea kitandani na ndoto zako za Mwinyi kuwa Rais huku Bara
Mhh! Hata Mwinyi Jr kabla ya kuwa Rais wa Zanzibar, kauli kama hizo zilitolewa. Kumbe ukweli ni kwamba aliwekwa mbali na media kimkakati ili asipate kuchafuliwa na siasa za maji taka.Huyu mnaemsemaga huwa nawashangaa sana hata kujieleza hawezi
Huo ukabila wako wa kuwachukia kanda ya ziwa koma kabisa. Hiyo ndio kanda ambayo kila mgombea urais anaipigania. Kama hamuitaki isuseni ende upinzani yote.Ndio Rais wako huyo mwaka 2030, hutaki hama Nchi,
Nyie watu wa kanda ya ziwa mna roho mbaya Sana,japo sio wote, kwa suala la nafasi ya urais msahau kabisa kabisa,syteam tushajifunza mno