Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Hawa vijana anaowazungumzia sidhani kama wapo jf...glasses za $300,saa sijui Oris etc etc

Seems to me like day dreaming. Ukiwa na hela hata mtumba unakung’arisha. Unang’aa ng’aa yani bila sababu[emoji4]

Being yourself is what catches a classy woman’s eye.
 
Ila kuna wanaume wengine mvutoless asee...hata avae or apake nini yaani ni havutii yaaan!

Diamond before alikua mvutoless now unamchukuliaje? Hakuna asiye na mvuto dunia hii!!
 
Uwiii uko wrong dear....mwanaume hata ukiwa bubu but unajua role yako kwa mwanamke ni lazima utapendwa tuu!

Care n handle her uone outcome! Eti kujiamini[emoji15] [emoji15]
 
Special to impress you classy lady...
Cc lusungo

Hahah hivi hawa wanaoshangaa hayo wanaijua dunia kweli? Teh teh teh ile mikoba wanayobeba ya kariakoo hivi original zake bei wanazijua?!
 
You can be simple kwa original brands!! Oris watch looks simple but very expensive!! Rayban eyewear looks simple but expensive!! Simple means no manakshi nakshi hadi unaumiza macho ya watu!!

Kwa lugha nyingine unaongelea uwe na pesa ili kuoata classy woman, you don’t target mid to lower average people. Una target akina diamond na wenye pesa ndefu.
 
Mimi sihitaji mwanamke glassy,huwa sio watamu
 
Unajidanganya. Ndio maana kila siku mnaanzishiwa thread humu
Tell him....anacheza huyu

Eti kujiamini[emoji23] [emoji23] ....kujiamini wapelekee mabosi wa kampuni wakupe kazi
 
Haaahaaa....we unawajua wanawake[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
 
Ebana eeh tena umenikumbusha ngoja nichukue Creed nikampige sound mama Samia .....Shenzi wewe utakuwa unanitakia balaa na hizi mbinu zako
 
Nitumie gharama zote hizo kwa ajili ya urafiki tu.? Hell no kina mwajuma wananitosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…