Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiamini Mkuu,mwanamke hatongozwi kwa style yako,watakuwaliza,jifunze kutongoza ......Unajidanganya. Ndio maana kila siku mnaanzishiwa thread humu
Hawa vijana anaowazungumzia sidhani kama wapo jf...glasses za $300,saa sijui Oris etc etc
Mkuu inaa maana hapa bongoland haipatikan?Kuanzia 425 USD
Uwiii uko wrong dear....mwanaume hata ukiwa bubu but unajua role yako kwa mwanamke ni lazima utapendwa tuu!Mkuu wanawake wazuri hawataki mambo yote hayo,wewe unaonyesha hujui kutongoza,mwanamke yoyote yule anavutiwa na mwanamme anaejiamini,..
Style yako wewe utachunwa tu na wanawake, style yako inaitwa "Buzi style",mwanamme kama wewe unakaribisha wa wanawake wakuchune,pesa wanazopata kwako wanakwenda kutumia na Bad boys...
"Beautiful Women likes bad Guys,gangster style kind of guys "
Umemaliza mkuu[emoji122] [emoji122]Kumbe umewaandikia vijana wenzio, mwanamke anataka mpunga we hata ukiwa na simu ya tochi, kama unampa anachotaka atakuja tu
You can be simple kwa original brands!! Oris watch looks simple but very expensive!! Rayban eyewear looks simple but expensive!! Simple means no manakshi nakshi hadi unaumiza macho ya watu!!
Mimi sihitaji mwanamke glassy,huwa sio watamuMwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc
Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.
Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!
Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!
Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!
Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Tell him....anacheza huyuUnajidanganya. Ndio maana kila siku mnaanzishiwa thread humu
Haaahaaa....we unawajua wanawake[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]Ndo maana huwa mnakosa wanawake, we kwani nikimfuata nimecha gari home kwangu, hafu akanieleza shida zake akakuta zinatatuliwa, hafu we unaenda na gari lako hata pesa ya mafuta ya kuungaunga nani ataaminiwa haraka?
Mwanamke uchawi wake ni pesa ukimpa utaona anavyochanganyikiwa
Nitumie gharama zote hizo kwa ajili ya urafiki tu.? Hell no kina mwajuma wananitoshaMwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc
Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.
Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!
Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!
Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!
Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi mtoa maada anawazungumzia wanawake hawa hawa ninao wajua mimi au ni wale wa mbinguni??.
[emoji16]Mimi sihitaji mwanamke glassy,huwa sio watamu