Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.

Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc

Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.

Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!

Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!

Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!

Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!

Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...

Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!

Lusungo if I may..
Niongezee kuhusu maongezi. Unless kama ume mention bila ku elaborate.
Mazungumzo ya mtu matters a lot. Unakuta mtu kavaa na kupendeza kama yote, but whatever comes out of their mouth?!!
Only God Knows..
 
Mimi binafsi hata niwe tajiri kiasi gani siwezi ku-spend a lot of money kwa kununua vitu expensive na kujirusha kwenye kumbi za starehe kwaajiri ya kumvutia mwanamke,
Ninaweza nunua vitu expensive na muhimu kwa matumizi yangu binafsi lakini sio kwaajiri ya kumvutia mwanamke,
 
Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.

Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc

Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.

Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!

Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!

Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!

Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!

Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...

Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Wewe wanakuchuna sisi wanatugea bure.
 
Uwiii uko wrong dear....mwanaume hata ukiwa bubu but unajua role yako kwa mwanamke ni lazima utapendwa tuu!

Care n handle her uone outcome! Eti kujiamini[emoji15] [emoji15]
Kujiamini ni moja katika "role" ya mwanamme kwa mwanamke,kumpa mwanamke usalama na uhakiaka wa maisha yake,sijui mwenzangu wanaume wako "style" gani,

kila mtu ana anachokipenda katika kuvutiwa na mwanamke au mwaname,inawezekana unapenda wanaume wanaoangalia chini,hawakuanangilii machoni wakati wanaongea na wewe,lakini kwa vile wamevaa Gucci na versace,basi unavutiwa nao,..

Mimi sina mwanamke mbaya,sijawahi kuwa na mwanamke mbaya sivai Gucci wala nini, lakini wanawake wanavutiwa sana na "confidence" yangu,Najiamini sana,tena sana
 
Lusungo if I may..
Niongezee kuhusu maongezi. Unless kama ume mention bila ku elaborate.
Mazungumzo ya mtu matters a lot. Unakuta mtu kavaa na kupendeza kama yote, but whatever comes out of their mouth?!!
Only God Knows..
+... accent...kiimbo unachotumia kuogelea..

Jana nilikuwa naangalia date fulani.. A girl amekutana na wanaume zaidi ya watatu.. unaona kabisa jamaa wanavyo bore.

Manzi anasema unaaccent mbaya saana...
 
Kijana mi nimetoa ushauri by my experience... siko huko tena ni mtu mzima sasa!
😀😀 Ushauri wako mbovu sana ,mzee mwenzangu,...wape vijana ushauriwa wa kweli,ushauri wako unawapoteza vijana unawatia katika mtego wa kuchunwa na wanawake..
 
Kwa lugha nyingine unaongelea uwe na pesa ili kuoata classy woman, you don’t target mid to lower average people. Una target akina diamond na wenye pesa ndefu.

Usikariri maisha hivyo vitu nilivyoweka hapo anamudu mtu wa middle income tuu ya matajiri na hela ndefu sijaweka!! Kama ur boy can’t afford the mentioned items mko lower income class!
 
Mimi binafsi hata niwe tajiri kiasi gani siwezi ku spend a lot of money kwa kununua vitu expensive na kujirusha kwenye kumbi za starehe expensive kwaajiri ya kumvutia mwanamke, huo ujinga sitokuja kuufanya maishani mwangu, ninaweza nunua vitu expensive na muhimu kwa matumizi yangu binafsi lakini sio kwaajiri ya kumvutia mwanamke,

Comprehension kwako ni shida. Soma tena na tena then ukishindwa acha.
 
Wapo wengi tu mkuu... then ni suala la uchaguzi tu kama kijana anasepend 100K kwa night moja club anashindwa nunua kitu cha $300?
Wengi mshahara wenyewe ndio huo 600,000-700,000 halafu anunue sun goggles $300.....wachache sanaaaa.
 
+... accent...kiimbo unachotumia kuogelea..

Jana nilikuwa naangalia date fulani.. A girl amekutana na wanaume zaidi ya watatu.. unaona kabisa jamaa wanavyo bore.

Manzi anasema unaaccent mbaya saana...

Hahaha!, ni kweli kabisa Daby.
Imagine kuna wadada accent matters pia.
 
Lusungo if I may..
Niongezee kuhusu maongezi. Unless kama ume mention bila ku elaborate.
Mazungumzo ya mtu matters a lot. Unakuta mtu kavaa na kupendeza kama yote, but whatever comes out of their mouth?!!
Only God Knows..
Huhuuuuuuu......what comes out of their mouth?

Nalendwa
 
Lusungo if I may..
Niongezee kuhusu maongezi. Unless kama ume mention bila ku elaborate.
Mazungumzo ya mtu matters a lot. Unakuta mtu kavaa na kupendeza kama yote, but whatever comes out of their mouth?!!
Only God Knows..
That's what I am talking about,Confidence it matter a lot
 
Lusungo if I may..
Niongezee kuhusu maongezi. Unless kama ume mention bila ku elaborate.
Mazungumzo ya mtu matters a lot. Unakuta mtu kavaa na kupendeza kama yote, but whatever comes out of their mouth?!!
Only God Knows..

Hapo kwenye Gentleman imemaliza yote!
 
+... accent...kiimbo unachotumia kuogelea..

Jana nilikuwa naangalia date fulani.. A girl amekutana na wanaume zaidi ya watatu.. unaona kabisa jamaa wanavyo bore.

Manzi anasema unaaccent mbaya saana...

Lakini kaka zangu wa kisukuma tuwafanyeje na zile accent zetu..
Halafu si unajua tunavyokuwa loaded tukiuza mifugo yetu na madini...lol
 
Back
Top Bottom