Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

Mungu amponye haraka
 
Aiseee sio POA dawa ya mchawi ni kumchana live na kusali basi
 
Unamkumbuka wa op yako masanja na intake yako. Pale oljoro alichanganyikiwa ndani ya six weeks hadi alisitishiwa shule, alikua anapiga simu mtaani kwake anawambia wasubiri atoke atawanyoosha wezi wa mazao yake.,Wakamuwahi.
Acha tu ase kuna mambo yanasikitisha sana
 
Mzee wake Salehe umempata na Salehe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…