Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

Sijaelewa B2B ina maana gani mkuu
 
Kumbe ulikua hujaona!πŸ˜‚πŸ€Έ
Kwa hilo pose kweli upendo upo kati yao

Katika siku zote ambazo DR HAYA LAND alipandisha nyuzi, leo nimeona ameongea point
point gani

kwani hamna namna nzuri ya kuwasilidha mada bila kejeli?
Binafsi naona na personal grudges na single maza basi anataka kila mwanaume awachukie but why?
 
Ila ukikaa na hawa wadada wana story nyingi sana behind,wengine wameonewa sana.

Nina rafiki yangu mmoja (jirani)aliniomba niwe naongea na mtoto wake tu kwa simu na awe anakuja home weekend kucheza na wanangu just kujifunza.

Siku nikakuta mtoto ananiita baba kama wanangu wananvyo niita aisee wife alinikata jicho hiyo siku.

Tunawaumiza hawa watu kama huna malengo na mtu usimzalishe wanaumia sana hawa viumbe wasio na hatia wengine.
 
Wanawake wenyewe wanaona kuwa baba wa kambo ni udhaifu.
DR HAYA LAND

Wanawake wanajua wanachokifanya , Usileee mtoto asiye wako, sio jukumu lako.
 

Attachments

  • GN8dZQmWIAEAOqP.jpeg
    27.1 KB · Views: 4
sure mkuu wanaosababisha single maza ni hawa hawa wanaume wanaokuja hapa kukejeli

but as saying mtoto ni wa mwanamke basi sijui wanajionaje yaani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sijaelewa B2B ina maana gani mkuu
B2B MIDFIELDER (BED TO BED MIDFIELDER):

Hawa ni wanawake ambao waliwahi kuwa na mahusiano na wanaume zaidi ya mmoja, wamebadilisha vitanda vingi na sifa zao ni hizi:

1) Wanachukia ukiwa mwema sana. Ukiwa mwema wanakuona dhaifu kutokana na historia ya wao kuumizwa kwenye mahusiano .

2) Wanapenda attention za wanaume.

3) Wanapenda kuumizwa kihisia, ndo wanaona wanapendwa.

4) Wanapenda mwanaume akiwa indifferent kuonyesha wana options.

5) Ukiwacheat , wanabaki kwenye mahusiano licht ya kwamba baada ya cheating uliwadhalilisha , wao wanaona una thamani kubwa mpaka mwanamke mwingine kakubali kulala nawe.

6) Asilimia kubwa wanazaa watoto na badboys. Alafu wanataka wanaume wema walee watoto wao.

7) Wanachukia mwanaume kuwa romantic.

8) Ni wasaliti wa kukubuhu.

Kama ni mwanaume mwema kaa mbali nao.
 
sure mkuu wanaosababisha single maza ni hawa hawa wanaume wanaokuja hapa kukejeli

but as saying mtoto ni wa mwanamke basi sijui wanajionaje yaani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mtoto ni wa familia baba na mama,we chunguza watoto wenye furaha utakuta baba na mama wapo around bila kujali hali yao.Mtoto ana feel secured sana.
 
Nimekusoma vyema
 
sure mkuu wanaosababisha single maza ni hawa hawa wanaume wanaokuja hapa kukejeli

but as saying mtoto ni wa mwanamke basi sijui wanajionaje yaani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mimi naona sisi wahuni tubaki na wahuni wenzetu tu .
 
Vijana wasioe laana(single mother)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…