ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kaka ukizoom hiyo picha utaona huyo dada alikalia maji😎Nmetulia zangu na chuma ipo kwenye peak yake.View attachment 2994474
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka ukizoom hiyo picha utaona huyo dada alikalia maji😎Nmetulia zangu na chuma ipo kwenye peak yake.View attachment 2994474
Ooooh, valve cover gasket ,inavujisha mafutaðŸ¤Kaka ukizoom hiyo picha utaona huyo dada alikalia maji😎
Kumbe ulikua hujaona!😂🤸Ooooh, valve cover gasket ,inavujisha mafutaðŸ¤
Huyo mwamba huwa ni genius siku zote.Kumbe ulikua hujaona!😂🤸
Kwa hilo pose kweli upendo upo kati yao
Katika siku zote ambazo DR HAYA LAND alipandisha nyuzi, leo nimeona ameongea point
Sijaelewa B2B ina maana gani mkuuUko sahihi.
Mwanaume mwema usioe mwanamke juu ya umri wa miaka 25.
Maana wanawake wa aina hiyo huwa wanataka kuokolewa, watakubali kuolewa nawe kwasababu ya unachoprovide. Wasingekuchagua kama wangekuwa na umri chini ya hapo.
Mwanamke anayekupenda kuanzia miaka 18-24 kwa jinsi ulivyo muoe.
Pia kaa mbali na B2B midfielders.
Mchunguze, jua maisha yake ya nyuma, usimuoe bila kujua past yake. Past matters.
point ganiKumbe ulikua hujaona!😂🤸
Kwa hilo pose kweli upendo upo kati yao
Katika siku zote ambazo DR HAYA LAND alipandisha nyuzi, leo nimeona ameongea point
aah anakosea sanaHuyo mwamba huwa ni genius siku zote.
Wanawake wenyewe wanaona kuwa baba wa kambo ni udhaifu.Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa .
Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake
Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose.
Usiogope competition (kushindanda) wewe shindana na hao wenye pesa
Ukisema unasubiria kupiga mpira uliyokufa ndo hawa singo mama na n.k so take care.
Mipira iliyokufa Ina-gharama zake so usijaribu.
Nilivyosoma sija-sense ubaya wowotepoint gani
kwani hamna namna nzuri ya kuwasilidha mada bila kejeli?
Binafsi naona na personal grudges na single maza basi anataka kila mwanaume awachukie but why?
sure mkuu wanaosababisha single maza ni hawa hawa wanaume wanaokuja hapa kukejeliIla ukikaa na hawa wadada wana story nyingi sana behind,wengine wameonewa sana.
Nina rafiki yangu mmoja (jirani)aliniomba niwe naongea na mtoto wake tu kwa simu na awe anakuja home weekend kucheza na wanangu just kujifunza.
Siku nikakuta mtoto ananiita baba kama wanangu wananvyo niita aisee wife alinikata jicho hiyo siku.
Tunawaumiza hawa watu kama huna malengo na mtu usimzalishe wanaumia sana hawa viumbe wasio na hatia wengine.
okei keep onNilivyosoma sija-sense ubaya wowote
Ameongea point na mimi nimekubaliana nae.
Kama upande wako imekua tofauti ni Sawa..!
B2B MIDFIELDER (BED TO BED MIDFIELDER):Sijaelewa B2B ina maana gani mkuu
Mtoto ni wa familia baba na mama,we chunguza watoto wenye furaha utakuta baba na mama wapo around bila kujali hali yao.Mtoto ana feel secured sana.sure mkuu wanaosababisha single maza ni hawa hawa wanaume wanaokuja hapa kukejeli
but as saying mtoto ni wa mwanamke basi sijui wanajionaje yaani 😅😅😅
Nimekusoma vyemaB2B MIDFIELDER (BED TO BED MIDFIELDER):
Hawa ni wanawake ambao waliwahi kuwa na mahusiano na wanaume zaidi ya mmoja, wamebadilisha vitanda vingi na sifa zao ni hizi:
1) Wanachukia ukiwa mwema sana. Ukiwa mwema wanakuona dhaifu kutokana na historia ya wao kuumizwa kwenye mahusiano .
2) Wanapenda attention za wanaume.
3) Wanapenda kuumizwa kihisia, ndo wanaona wanapendwa.
4) Wanapenda mwanaume akiwa indifferent kuonyesha wana options.
5) Ukiwacheat , wanabaki kwenye mahusiano licht ya kwamba baada ya cheating uliwadhalilisha , wao wanaona una thamani kubwa mpaka mwanamke mwingine kakubali kulala nawe.
6) Asilimia kubwa wanazaa watoto na badboys. Alafu wanataka wanaume wema walee watoto wao.
7) Wanachukia mwanaume kuwa romantic.
8) Ni wasaliti wa kukubuhu.
Kama ni mwanaume mwema kaa mbali nao.
sure mkuu wanaosababisha single maza ni hawa hawa wanaume wanaokuja hapa kukejeli
but as saying mtoto ni wa mwanamke basi sijui wanajionaje yaani 😅😅😅
Mimi naona sisi wahuni tubaki na wahuni wenzetu tu .B2B MIDFIELDER (BED TO BED MIDFIELDER):
Hawa ni wanawake ambao waliwahi kuwa na mahusiano na wanaume zaidi ya mmoja, wamebadilisha vitanda vingi na sifa zao ni hizi:
1) Wanachukia ukiwa mwema sana. Ukiwa mwema wanakuona dhaifu kutokana na historia ya wao kuumizwa kwenye mahusiano .
2) Wanapenda attention za wanaume.
3) Wanapenda kuumizwa kihisia, ndo wanaona wanapendwa.
4) Wanapenda mwanaume akiwa indifferent kuonyesha wana options.
5) Ukiwacheat , wanabaki kwenye mahusiano licht ya kwamba baada ya cheating uliwadhalilisha , wao wanaona una thamani kubwa mpaka mwanamke mwingine kakubali kulala nawe.
6) Asilimia kubwa wanazaa watoto na badboys. Alafu wanataka wanaume wema walee watoto wao.
7) Wanachukia mwanaume kuwa romantic.
8) Ni wasaliti wa kukubuhu.
Kama ni mwanaume mwema kaa mbali nao.
Vijana wasioe laana(single mother)Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa .
Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake
Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose.
Usiogope competition (kushindanda) wewe shindana na hao wenye pesa
Ukisema unasubiria kupiga mpira uliyokufa ndo hawa singo mama na n.k so take care.
Mipira iliyokufa Ina-gharama zake so usijaribu.
Vipi mtoto akiishi na baba tu?Mtoto ni wa familia baba na mama,we chunguza watoto wenye furaha utakuta baba na mama wapo around bila kujali hali yao.Mtoto ana feel secured sana.
Kweli damaged women bakini nao, ila wanaume wema wawaepuke kama ukoma.Mimi naona sisi wahuni tubaki na wahuni wenzetu tu .