Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

Vipi mtoto akiishi na baba tu?
Upendo wa mama pia ni muhimu sana,Mungu hakukosea kutengeneza Unit kati ya mwanaume na mwanamke kisha watoto wapatikane.
Ushawahi kusikia mtoto anasema nitamwambia mama,alafu mwimgine hajui mama yake yuko wapi au baba yuko wapi.

Watoto wanajua baba au mama ndio kila kitu, mind you wakienda familia nyingine utasikia mama kanipa hiki au kile au baba did this and that alafu akivuta picha home mama au baba mmoja hayupo.Hapo mtoto anaumia sana,kuna siku akipata muda atauliza maswali mpaka utashangaa.
 
rahisi ni ghali sio 🐒
 
Ahahaa....mipira ilikufa msife moyo tupo wanaume wenye mioyo migumu tunajua kufanya repair kitu kinakuwa new model afu tunawarudishia vijana wa 2000s mtaani...

Sema nini.....mchawi pesaa tu,wanaume wanawake tunachukulia kama chombo ya starehe tu
 
Wa Dada pia chukueni hii, kubali mwanaume ambae yupo kwenye peak yake
 
Duh! Aisee 🤔
 
Hawa akina kante unamaanisha nini mkuu(B2B)
 
Duh mlikubaliana kikao kipi haya majina😃mbona nimepitwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…