Kijana jiepushe na kupiga mipira iliyokufa

Akiamua kuondoka si unampiga chini tu.

Yaani wanawake walivyokuwa wengi tena kipindi cha dating phase ndo amani yangu ya kichwa kisumbuliwe?

Although I am faithful kwa mtu mmoja ila nikizinguliwa mi nawalk away kimya kimya.
 
Mkuu hujui kuwa mipira iliyokufa huzaa magoli ya ushindi zaidi?
 
Humu Kuna wapuuzi wengi sana huku nilipo wanaoa hata kama unanyonyesha, na wengine wameoa wanawake wenye watoto wanne kila mmoja na babake hizo habari za single mothers, naona ni humu tu kwenye kundi ambalo watu hawafiki hata milioni Moja, so wanawake puuzeni ujinga wao
 
Wanawake, na nyie msikubali mwanaume kirundu, yani mwanaume anakuja anataka kukuoa anawatoto wanne kila mtoto na mama yake, alafu anataka akioa ahamie nao kwako muanze maisha ila yeye hataki wewe uwe na mtoto ebooo? Kila mtu afe na chake. Janaume limezaa utasema anamiliki viungo vya manispaa khaa!
 
Kupiga mipira iliyokufa ina faida mbili:
1. Unapiga mzigo kiulaini 2. una uhakika wa kufunga kwa kuwa shamba lina rutuba
 
tiGo je?
 
Hizi busara, nitajiepusha Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…