Kijana kamkimbia mchumba wake alietaka kumuoa baada ya kujua kwao kuna walemavu ni sawa?

Kuachana ni sawa kama kuna mmoja hafurahishwi, hafurahii na hajivunii hayo mahusiano.
Maisha ni mafupi.

Ila kumwambia sababu ndio haikuwa Sawa
 
Kla mtu anamaanuzi yake kwa mila na desturi zetu yuko sawa kwan hii tabia ya kuangalia walemavu ndan ya familia kbla ya kuoa au kuolewa ni utaratibu ulokuepo ata kwa wazazi wetu na babu zetu pia walifanya ivyo

Bila unafiki akuna anayependa kuleta mattzo ndan ya familia au ukoo na ulemavu tangu zaman ilijulikana ni ttzo na watu weng hawakk tyr kuleta au kupeleka mattzo kwao

Ukwel utabakia kua ukwel ata hao wanaosaport kuolewa au kuoa kwa walemavu wanajitoa tu akili ila ukwel wanaujua
Akuna alotayali kuleta matahira ukooni kwao akuna alotayali kuleta na albino kwa ukoo wao akuna alotayali kuleta walemavu wa viungo kwa ukoo wao labda km itatokea kwa bahati mbaya

Mapenzi ni upofu labda km unampenda sana uwezi ona ivyo vtu
 
Usahihi au kutokuwa sahihi ni yeye anaweza kulipima hilo.

Kikubwa Mwambie tu akaombe toba kwa imani yake.

Uzi mchungu huu, poleni wenye changamoto ya kuuguza.
 
Yuko sahihi, ukiweka hisia pembeni swala la kuoa lapasa kutumia chaguzi zinazoratibiwa na akili zako ingawa approach aliyotumia si nzuri sana.
 
Bado ana utoto huyo
Anajua anapoenda kuoa sasa
Au yeye anaijua kesho yake
Sasa si bora huyo, mbona nyie mnakimbia kuolewa na wanaume makapuku?πŸ˜‚
Kuna usaliti mmbaya zaidi ya huo???
 
Ety nimekuacha kisa kwenu walemavu sio ubinadamu huu.
Yuko sahihi ila approach ameikosea tu. He would have choosen another path ya kumaliza mahusiano ambayo iko effective sana nayo ni kumkatia mirija ya pesa tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa wanawake wa ki Tanzania ukiwa stingy hawawezi kuku kueep.
 
Mungu amejibu maombiπŸ˜‚
 
Yupo sahihi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…