Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Pole Mkuu..Unaweza ukapata mtoto mlemavu vyovyote vile iwavyo lkn ingawaje inauma sana asee
Nna mtoto mlemavu wa kulala tu asee changamoto ni nyingi sanaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Mkuu..Unaweza ukapata mtoto mlemavu vyovyote vile iwavyo lkn ingawaje inauma sana asee
Nna mtoto mlemavu wa kulala tu asee changamoto ni nyingi sanaaaaaaaa
Si ndyo hapo nmesema jamaa Ana utoto sanaNimemshangaa huyo jamaa, je yeye akipata ulemavu hapo alipo afu wanawake wamkatae kimahusiano na kuzaa nae atajisikiaje?
Elimu yake haijamsaidia hata kidogo.
Shukran bossPole Mkuu..
Dooh tena huyo ana bahati kama ilifika hadi akajifungua salama. Nyingi zikifikisha miezi mitano zinapasua eneo lililotungwa mimba anavuja damu ndani kwa ndani na wengine wanapoteza mimba na maisha kabisa.Umesema kweli elimu inahitajika kuna jiran yetu mmoja aliwahi ambiwa kama mimba imetungwa nje ya fuko inabidi itolewe
Yule dada aligoma akagoma na akagoma kabisaaa
Akaja akajifungua mtoto salama usalimini kabisa
Ila baada ya hapo akapata shida anatakiwa kila siku ameze madonge gani sijui laa sivyo mwili unakua kama umepigwa ganz na madokta wamewaambia kwamba ana uwezekano mkubwa kabisa wa kupata stroke huko mbeleni kama hali itaendelea kua hivyo
Mumewe alikua mshkaji wangu kiujirani jirani alinambia kama sijakosea dawa anazomeza kwa siku zinakost kama 10k na jamaa mda mwengne anakosa
Ukimuona dada hajameza dawa anakua kama kitu gani sijui
Sio utoto na akili hana pia.Si ndyo hapo nmesema jamaa Ana utoto sana
Ni kweli kabisa....Hujafa hujaumbika...Anaweza amka kesho akawa kipofu au akaoata ulemavu wowote.
Hujafa hujaumbika acheni dharau karma sometimes Ina back fire vibaya sana.
Daah na kweli kama ndio hivyo huyu kanusurikaDooh tena huyo ana bahati kama ilifika hadi akajifungua salama. Nyingi zikifikisha miezi mitano zinapasua eneo lililotungwa mimba anavuja damu ndani kwa ndani na wengine wanapoteza mimba na maisha kabisa.
Na zilizotunga kwenye mirija ile ikichelewa kutolewa anapata matatizo ya uzazi mbeleni maana ovary ataksyokuwa anaitegemea ni moja tu
Sio vyema kubishana na wataalamu wa afya kabisa
Ameen Ahsante sana ndugu yangu Mungu azidi kunipa uvumilivu na nguvu za kutoshaBwana Utam pole sana ndugu yangu
Mungu azidi kukupa uvumilivu
✊️Ameen Ahsante sana ndugu yangu Mungu azidi kunipa uvumilivu na nguvu za kutosha
Dada yangu alikuwa anatuambia "Angalieni sana huko mnapotaka kuolewa."Umenikumbusha baba yangu alikua anasisitiza ukipata mchumba umwambie mapema achunguze ukoo wake maana kuna magonjwa ya kurithi, tabia za kuhama vizazi, laana za ukoo na mambo muhimu kuchunguza kabla ya ndoa.
Hata hiki unachokifanya hapa ni mipasho tosha.JF Imekuwaje siku hizi ? Jarida la mipasho utoto ujinfa tuu mambo personal ....sio ile mijadala ta kukuza nchi na vision 2030 to 50 yaanii nadhani JF ya $$ subscription ni muhimu na lazimaa....
thread Za Kukuza Nchi Zipo We Ignore ZisizokuhusuJF Imekuwaje siku hizi ? Jarida la mipasho utoto ujinfa tuu mambo personal ....sio ile mijadala ta kukuza nchi na vision 2030 to 50 yaanii nadhani JF ya $$ subscription ni muhimu na lazimaa....
Na huko ndo ukweli. Wakati huo mke alikuwa ni wa familia na hivyo ililazimika kufanya uchunguzi ili kuepuka yale ambayo waliona yanaweza kutokea huko mbele na kuleta kutokuelewana Kati ya familia hizi mbili.Kosa alilolifanya Ni kumwambia( kuropoka) kwa Nini anaachana naye, angetafuta tu njia ya kuachana naye tu kiaina kwa ustaarabu bila binti kujua, Hata wazee wa zamani walikuwa wanafuatilia familia ya mtu mnaetaka Kuoana nae, Kama familia Ina changamoto walibadili maamuzi na ilisaidia Sana kuepusha changamoto mbalimbali.
Pole sana kaka ,kitu cha kumuomba mungu ni kutuepushia magonjwa familia zetu kuna siku nimetoka dar ile nafika tu home mbeya usiku wa manane dogo kazidiwa anashindwa hata kupumua aisee siku ile ndo nilichanganyikiwa ndo nilipoujua umuhimu wa gari maana dereva teski wote hawapokei siku wa tatu ndo akapokea tukamkimbiza dogo chapu had Leo naishi kwa code simu salio iwe nayo pesa ya akiba namba za watu wa usafiri zisizopungua tano ,dawa za kawaida za kutuliza maumivu kama panadol lazima ziwepo ndani sisi wenye familia lolote linaweza jiri mda wowote ni kukaa attentionUkiachana tu changamoto za kumlea, naamini kama mzazi kila ukimtazama unajisikia uchungu sana kwakuona kwamba anateseka bila makosa.
Mwaka jana mwanangu wa kiume wa 3 kuzaliwa, 5 years alipata changamoto ya mifupa ,serious bactrial infection kwenye mfupa mkubwa wa mguu karibu na goti. Ilikua ni ishu sana.. alikua halali usiku hospital kutwa kicha kakunja mguu analia sanaa .
Daktar alinambia kitaalam hapo maumiv anayoyasikia ni kama upigwe panga kwenye mguu.. aisee acha tu, mbaya zaid wakasema kuna uwezekana ikatokea eneo la maungio ya mifupa gotini ikaathirika na mguu ukashindwa kukua hivyo kubaki na mguu mfupi mmoja na kuwa mlemavu...
Aisee...usiku akilala mwanangu nilikua nikimtazama machozi yananitoka nalia peke yangu. 🥲🥲.
NIkawa namwambia Mungu naomba kama inawezekana hii hali ihamishie kwangu, mwanangu bado mdogo sana kwa haya maumivu.
It took us 4 months with alot of money mpaka dogo kuja kukaa sawaa.
Alikua anapigwa doz nzito za antibiotics kias kwamba leo hii hiv vi antibiotics vya kawaida akinywa anapoumwa kawaida tu, huwa ni kama havifanyi kazi.
Daktar alinambia it will take time mwil kurud sawa toka usugu wa madawa..
Kuwa mzazi ni kaz sana Mungu atusaidie wazaz na walez wotee.
Intelligent businessman we endelea tu kupiga selfie dogo [emoji23] haya mambo sidhan kama utayaweza
Hakuna kitu kizuri kama kuoa kabila lako mana utachunguza na kupata jibu kupitia kwa wazazi....kuna familia zinarithi vitu ukioa mpka hujajua,saa ingine unakuta unazaa watoto wenye magonjwa ya kurithiHii ilikuwa kazi ya Wazee zamani wanachunguza koo mbali mbali na ukitaka kuo unaambiwa kabisa pale usiende hapa nenda siku hizi tunajichukulia maamuzi wenyewe yanatukuta ya kutukuta. Jamaa yuko sahihi kabisa.....very right
Mimi kuna ukoo naujua uliachiwa laana huko enzi za mababu zao miaka 1910,babu huyo alimdhulumu mjane ....babu alizaa watoto wakiume watatu na wao wakaja kuoa,ila kila tumbo wakiume mmoja chanel kichwani zilipotea wakiwa wamemaliza udsm na wanafanya kazi kabisa,laana zipoMaamuzi sahihi,ila alichokosea ni kumwambia...angempiga tu matukio ya hapa na pale Kila Mtu a depart na mwelekeo wake.
Yes Kuna mambo kama yanaepukika mapema ni sawaMimi kuna ukoo naujua uliachiwa laana huko enzi za mababu zao miaka 1910,babu huyo alimdhulumu mjane ....babu alizaa watoto wakiume watatu na wao wakaja kuoa,ila kila tumbo wakiume mmoja chanel kichwani zilipotea wakiwa wamemaliza udsm na wanafanya kazi kabisa,laana zipo