Kijana kamkimbia mchumba wake alietaka kumuoa baada ya kujua kwao kuna walemavu ni sawa?

Kijana kamkimbia mchumba wake alietaka kumuoa baada ya kujua kwao kuna walemavu ni sawa?

Mkuu mtoto bubu yuko fit hilo sio TATZO wanajimudu kwa 92%
Dah,Mimi wangu ni bubu,ni mtihani![emoji26]
Ninacho ulemavu m-baya ni wa akili tuu but ulemavu wa viungo sio issue sana kwakuw kwakuw kuna mazngir wezeshi

Ningekuw jiran yako ningekupeleka kwenye tàasisi fuln ungemshukuru mungu
 
[emoji1787][emoji1787]Jamaa yangu aliwahi ku-date na demu mmoja ana mguu mmoja mfupi na hakujua kwa kipindi kirefu tu. Alikuwa anajua kuuficha kweli kweli, ila baadae akamgundua.
[emoji2][emoji2]
 
Ngoja tumeite akuji @HajimanaraBugati Umetajwa huku
Kwa useful was story hii inaonyesha dhahiri muhusika ni wewe. But naona ni sahihi tunashauriwa kufanya ata vipimo ili kupunguza chances za magonjwa ya kurithi pia kama circle cell, magonjwa ya akili n.k. Kama unaona dhahiri kuna hatari hakuna haja ya kujiingiza. Nashangaa mabinti wanaoolewa na Manara wakimuona kabisa ni Albino. Wanaxhojisifia kwamba Manara anazaa watoto weusi, hawajui kwamba Manara anagenes za Ualbino kwa hiyo ata kama yeye hatozaa watoto Albino kizazi kitarudu kwa wajukuu wake na kusabahisha majutto.
Cc africa tunaakili fupi
 
Tushatembelea na bado tunaendelea kutembelea boss maana kuna clinic ya kila mwezi pale MUHIMBILI na CCBRT (dawa)
Dogo shida alizaliwa akapata homa ya manjano ikapelekea akalazwa miezi kadhaa pale temeke
Baada ya kutoka akawa yupo sawa ila sasa shida ikaanza wakati wa miezi ya kukaa kitako ndio ikajulikana kama dogo anashida
Na hospital wamesema kwamba ana utindio wa ubongo na kwamba tatizo haliponi kwa uwezo wao kama madokta hawana dawa labda tu apone kwa uwezo wa Mungu
Dah nko na rafk yangu ambae hili Tatzo limemkuta mtoto wake Asee ila pamoja na yote kuna uzembe mkubwa upande wa watotoa huduma au mzaz binafs

Homa ya manjano inasabishwa na mtoto kukosa yale maziwa ya mama ya awali pind amezaliwa (na kama mama ameshindw kunyonyesha yapo special mimi naona sasa serikali iongeze umakin kwa watendaji wake )

Pole mkuu , Jamaa mtoto wake naona vle anajarbu ata awe saw kwa juhud zote lakn ndivyo , mengine mungu asaidie
 
Niliwahi kusikia Manara huwa anachukua tahadhari kupima wenza wake kama nao wana genes za albinism kabla ya kufanya maamuzi ya kuwa na watoto.

Ikitokea wote wawili mna hizo genes kuna uwezekano mtoto akapata albinism ama akabena genes za albinism,
Kupima na mwenzake ataepusha watoto siyo wajukuu
 
Afrika wangesema kalogwa...[emoji1]
Kabisa kama mtu hana elimu lazima aseme uchawi umehusika kumbe ni science tu.

Haya mambo yangefikaga huku kwetu ingekuwa nafuu sana japo ki Africa Africa umwambie mtu mtoto anaonekana ana shida hii na hii na option iliyopo ni abortion hawezi kukuelewa.

Sembuse tu mtu anaambiwa mimba imetunga nje ya kizazi inatakiwa itolewe kwa usalama wa mama na bado anagoma.
 
Ni sawa, unaoa ili uzae.
Wewe unaweza kukusudia kuzaa walemavu?
Si dhambi kuchukua tahadhari.
 
Unaweza ukapata mtoto mlemavu vyovyote vile iwavyo lkn ingawaje inauma sana asee
Nna mtoto mlemavu wa kulala tu asee changamoto ni nyingi sanaaaaaaaa
Aseeeeh polee sana, Uwe na moyo wa hekima na faraja.
 
Bado ana utoto huyo
Anajua anapoenda kuoa sasa
Au yeye anaijua kesho yake
Nimemshangaa huyo jamaa, je yeye akipata ulemavu hapo alipo afu wanawake wamkatae kimahusiano na kuzaa nae atajisikiaje?

Elimu yake haijamsaidia hata kidogo.
 
Dah nko na rafk yangu ambae hili Tatzo limemkuta mtoto wake Asee ila pamoja na yote kuna uzembe mkubwa upande wa watotoa huduma au mzaz binafs

Homa ya manjano inasabishwa na mtoto kukosa yale maziwa ya mama ya awali pind amezaliwa (na kama mama ameshindw kunyonyesha yapo special mimi naona sasa serikali iongeze umakin kwa watendaji wake )

Pole mkuu , Jamaa mtoto wake naona vle anajarbu ata awe saw kwa juhud zote lakn ndivyo , mengine mungu asaidie
Upo sahihi mkuu hapa ishu kubwa nadhani ni madokta maana wamama hua hawajui saana kuhusiana na haya
Wakwangu kweli mama alikua na shida kwenye kutoa maziwa yaani maziwa hua hayatoki hata haka kakichanga kipya maziwa yaligoma kabisaa ila kenyewe kapo sawa
Wakwanza uzembe wa madokta mna ule nipo buza alizaliwa pale buza dispensary mama kaishajulikana ana shida madokta wakataka kumuhamishia temeke tukaambiwa tungojee ambulance kutoka saa moja asubuhi mpaka saa tisa hapana ambulance hapana nini na bado wakatwambia tuende nae wenyewe hospital nadhani haya masaa tisa alokaa ndio yalileta hii shida
Na huyu wapili alijifungua pale temeke alikaa kama week moja na siku kadhaa madokta waligoma kabisa kabisa kumpa maziwa special wakawa wanakazana kumchoma mama mtu misindano mtoto ziwa la mama alikuja kulipata baada ya week moja kupita nar alikua kaisha anza kupata manjano ila Mungu alimsaidia kwasasa anatambaa
Nadhani madokta ndio tatizo la kwanza
 
Misemo ya "Hujafa hujaumbika" ni kuhalalisha matatizo yasiyo na ulazima.

Kijana kafanya vyema sana kuepuka balaa la mbeleni.

Ninyi mnao komenti ushubwada hapa wa hujafa hujaumbika, Huyo kijana akipata mtoto mlemavu mtamsaidia kulea?
Yeye akipata ulemavu hapo ukubwani alipo atalelewa na nani?
 
Kabisa kama mtu hana elimu lazima aseme uchawi umehusika kumbe ni science tu.

Haya mambo yangefikaga huku kwetu ingekuwa nafuu sana japo ki Africa Africa umwambie mtu mtoto anaonekana ana shida hii na hii na option iliyopo ni abortion hawezi kukuelewa.

Sembuse tu mtu anaambiwa mimba imetunga nje ya kizazi inatakiwa itolewe kwa usalama wa mama na bado anagoma.
Umesema kweli elimu inahitajika kuna jiran yetu mmoja aliwahi ambiwa kama mimba imetungwa nje ya fuko inabidi itolewe
Yule dada aligoma akagoma na akagoma kabisaaa
Akaja akajifungua mtoto salama usalimini kabisa
Ila baada ya hapo akapata shida anatakiwa kila siku ameze madonge gani sijui laa sivyo mwili unakua kama umepigwa ganz na madokta wamewaambia kwamba ana uwezekano mkubwa kabisa wa kupata stroke huko mbeleni kama hali itaendelea kua hivyo
Mumewe alikua mshkaji wangu kiujirani jirani alinambia kama sijakosea dawa anazomeza kwa siku zinakost kama 10k na jamaa mda mwengne anakosa
Ukimuona dada hajameza dawa anakua kama kitu gani sijui
 
Huyo jamaa ni wewe sasa...Yapo maradhi ya kuambikizwa ila ulemavu sio kwa sana ...

Binadamu anayeishi basi mda wowote anaweza kupata ulemavu...Inaweza kuwa yupo sawa kama hao watu wamezaliwa hivyo ila kwa sasa tatizo kama maskini ni hatar vijana wanalipata bila ya kujua.
Wanted to say huyu jamaa alitafiti akajua hayo ni magonjwa ya urithi..genetic etc? Au alikuruouka tu.
 
Hii ilikuwa kazi ya Wazee zamani wanachunguza koo mbali mbali na ukitaka kuo unaambiwa kabisa pale usiende hapa nenda siku hizi tunajichukulia maamuzi wenyewe yanatukuta ya kutukuta. Jamaa yuko sahihi kabisa.....very right
 
Back
Top Bottom