Kijana kamkimbia mchumba wake alietaka kumuoa baada ya kujua kwao kuna walemavu ni sawa?

Kijana kamkimbia mchumba wake alietaka kumuoa baada ya kujua kwao kuna walemavu ni sawa?

Hakika. Hakuna anaye plan haya mambo hutokea tu bila kutegemea. Very sad. Nimemuonea huruma sana huyo binti
Ila nadhani elimu inatakiwa itolewe sana juu ya namna watu tunavyowachukulia walemavu ama wagonjwa
Kuna siku nilipanda dala dala akapanda mschana na mzee na mtoto mpemavu kama wamiaka 10 au 11
Yule dada kambeba kapata nae shida asee mpaka kwenye dala dala katulia watu wakawa wanashangaa kama kitu cha ajabu kwel kwel yaani sijui wanaonaje
Kwabahati nikakaa nae mimi siti ya nyuma babu yao kakaa mbele
Ana kitambaa chake chakumfutia mate nikawa naocheza nae pale naona gari zima wananishangaa na hata dada ake akaniuliza mbona wewe upo hv wakati watu wengine wanambagua
Nikamwambia sina sababu yakumbagua sababu hata mimi bado sijajua mwisho wangu
Tukaendelea na safari ila mwisho nikamwambia kama namimi nna mtoto mwenye shida kama ndugu yake
Elimu Elimu Elimu walemavu wananyanyapaliwa sana
 
Ukiachana tu changamoto za kumlea, naamini kama mzazi kila ukimtazama unajisikia uchungu sana kwakuona kwamba anateseka bila makosa.

Mwaka jana mwanangu wa kiume wa 3 kuzaliwa, 5 years alipata changamoto ya mifupa ,serious bactrial infection kwenye mfupa mkubwa wa mguu karibu na goti. Ilikua ni ishu sana.. alikua halali usiku hospital kutwa kicha kakunja mguu analia sanaa .

Daktar alinambia kitaalam hapo maumiv anayoyasikia ni kama upigwe panga kwenye mguu.. aisee acha tu, mbaya zaid wakasema kuna uwezekana ikatokea eneo la maungio ya mifupa gotini ikaathirika na mguu ukashindwa kukua hivyo kubaki na mguu mfupi mmoja na kuwa mlemavu...

Aisee...usiku akilala mwanangu nilikua nikimtazama machozi yananitoka nalia peke yangu. 🥲🥲.
NIkawa namwambia Mungu naomba kama inawezekana hii hali ihamishie kwangu, mwanangu bado mdogo sana kwa haya maumivu.

It took us 4 months with alot of money mpaka dogo kuja kukaa sawaa.
Alikua anapigwa doz nzito za antibiotics kias kwamba leo hii hiv vi antibiotics vya kawaida akinywa anapoumwa kawaida tu, huwa ni kama havifanyi kazi.

Daktar alinambia it will take time mwil kurud sawa toka usugu wa madawa..

Kuwa mzazi ni kaz sana Mungu atusaidie wazaz na walez wotee.
Intelligent businessman we endelea tu kupiga selfie dogo 😂 haya mambo sidhan kama utayaweza
Dah pole Sana kaka Ivan Stepanov , ama kweli kuwa mzazi sio kazi ya ulele mama.
👉Jambo la kumshukuru Mungu, dogo ana endelea sawa🙏🙏.

Kuhusu selfie 🤣😀, natumia simu yangu tu tekno 724.
👉So Niko vizuri kidogo🤣😀
 
JF Imekuwaje siku hizi ? Jarida la mipasho utoto ujinfa tuu mambo personal ....sio ile mijadala ta kukuza nchi na vision 2030 to 50 yaanii nadhani JF ya $$ subscription ni muhimu na lazimaa....
Tuambieni Toka hii wiki imeanza ni mijadala mingapi ya kukuza nchi umeanzisha humu?
 
Jaribu kutembelea hospital kubwa, ila nambie kwanza shida zaidi ni nini??
Tushatembelea na bado tunaendelea kutembelea boss maana kuna clinic ya kila mwezi pale MUHIMBILI na CCBRT (dawa)
Dogo shida alizaliwa akapata homa ya manjano ikapelekea akalazwa miezi kadhaa pale temeke
Baada ya kutoka akawa yupo sawa ila sasa shida ikaanza wakati wa miezi ya kukaa kitako ndio ikajulikana kama dogo anashida
Na hospital wamesema kwamba ana utindio wa ubongo na kwamba tatizo haliponi kwa uwezo wao kama madokta hawana dawa labda tu apone kwa uwezo wa Mungu
 
Mimi jobless mkuu, naonaga hio ya mtindio wa ubongo kwenye movie.
👉 I can feel your pain Kaka, nita jaribu kuulizia ulizia sehemu🙏🙏
 
Mimi jobless mkuu, naonaga hio ya mtindio wa ubongo kwenye movie.
👉 I can feel your pain Kaka, nita jaribu kuulizia ulizia sehemu🙏🙏
Usijali mzee shukran pia ila utindio wa ubongo kwa maelezo ya dokta ni kwamba kuna kua na sehemu ama ubongo wote umepata athari fulani fulani
Hivyo unapelekea mwili kutofanya kazi yake itakiwavyo labda viungo akili nk
Maana kama huyu dogo yeye miguu imekakamaa tu na mikono pia ila mdomo asee anaongea maneno vyema kabisa ingawaje sio yote baadhi yanakwama kwama
 
Back
Top Bottom