Kijana katuambia anataka kufanya harusi (kuoa) yeye kaandaa laki moja tu, anaomba aongezewe pesa iliyobaki

Mbona simple tu? Muongezeeni hela akalipie cheti cha ndoa kisha msajili wa ndoa akamfungie huko kanisani, msikitini, kimila au bomani. Nyie mlidhani anataka mamilioni ya fedha akafunge ndoa?
 
Aache kusumbua watu maan sherehe ikiisha matatizo yake atasumbua tena watu
 
Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe.

Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
Changia harusi acha maneno...Najua hajakuomba mamilioni we kama unatoa toa unachoweza kama huwezi acha.
 
Eti mliooa cheti cha ndoa ndio shingapi vile
 
Ndoa tu mchango wake toka aanze kujipanga ana laki moja, hiyo familia ataweza kuimudu kweli.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…