DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,478
- 32,729
Hii ni kwa msajili kama ndoa ya kiserikali
Andaa 50000/=
Haitazidi Hapo
huwa Ten Only
Andaa 50000/=
Haitazidi Hapo
huwa Ten Only
Hapo Mkuu Utakuwa Unachua Vyeti Viwili Kwenye AlterHii ni kwa msajili kama ndoa ya kiserikali
Mkuu naomba muongozo kidogo Kwa hiyo Laki mbili unafanyajefanyaje mpaka kufungwa ndoa 🤔msiwe na bajeti kubwa (msifanye sherehe). muongezeeni laki moja nyingine - laki mbili zinatosha. Kufunga ndoa na sherehe ya ndoa ni mambo mawili tofauti.
Tukisema ana usonji tutakuwa hatujakoseaHapa ndipo kijana anafeli, sherehe kabambe kwa pesa za watu! anataka ku-show off.
Anahitaji maombi hayuko sawaKijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe.
Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
Mwongezeeni avute jiko chapKijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe.
Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
kWANI 100,000 haitoshi kma ni mkristo aende kanisan afunge ndoa watawanyike, joni awaite wazazi wa binti na wazazi wake wale dinner , salan 12,000 na Maji imetoka iyoKijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe.
Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
Huyu kalazimishwa kuoaKijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe.
Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
Mbona pesa nyingi hiyo kama mtaiplan vizurKijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe.