Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
- Thread starter
- #41
Haahaaa na chenjì imebaki🙌🙌🙌Mbona pesa nyingi hiyo kama mtaiplan vizur
Yan hapo mchele = 40,000/=
Maharage: 10,000/=
Nyama kilo mbili (kwa ajili ya wageni muhmu)= 16000/=
Viungo na mafuta =14000/=
Hapo anabakiwa na elf 20,000/= ya honeymon
Najua bwana harusi hawezi kosa sabufa la kuchangamsha shughuli