Tetesi: Kijana Kitanzania kumvisha pete Mtoto wa Rais wa Kenya,Charlene Ruto

marisi schwein

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,049
Reaction score
3,252
Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application ya SomaApp aitwaye Isaiah Yunk(g)e anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila( Koito ak chaik) itakayofanyika leo Jumamosi huko Narok, Kenya.

Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa Charlene; Rais wa Kenya, Dk William Samoei Kipchirchir Ruto pamoja na mkewe, Mama Rachel Ruto. Pia Rais wa Tanzania; Mh Samia Suluhu Hassan anatajwa kuwa miongoni mwa wageni watakaohudhuria sherehe hiyo
FB_IMG_1786165935473.jpg
images (45).jpeg
 
Attachments

  • images (44).jpeg
    images (44).jpeg
    31.4 KB · Views: 19
Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application iitwayo Somaapp aitwaye Isaiah Yunke anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila itakayofanyika kesho huko Narok, Kenya

Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa Charlene; Rais wa Kenya, Dk William Samoei Kipchirchir Ruto pamoja na mkewe, Rachel Ruto. Pia Rais wa Tanzania; Mh Samia Suluhu Hassan anatajwa kuwa miongoni mwa watakaohudhuria sherehe hiyo
Piga mimba fasta hiyo mutu
 
Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application iitwayo Somaapp aitwaye Isaiah Yunke anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila itakayofanyika kesho huko Narok, Kenya

Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa Charlene; Rais wa Kenya, Dk William Samoei Kipchirchir Ruto pamoja na mkewe, Rachel Ruto. Pia Rais wa Tanzania; Mh Samia Suluhu Hassan anatajwa kuwa miongoni mwa watakaohudhuria sherehe hiyoView attachment 3645909
Ok
 
Dogo atafute damu safi
 
Back
Top Bottom