Tetesi: Kijana Kitanzania kumvisha pete Mtoto wa Rais wa Kenya,Charlene Ruto

Tetesi: Kijana Kitanzania kumvisha pete Mtoto wa Rais wa Kenya,Charlene Ruto

Huyo manzi ako na kiherehere km ya dingi Ake mazee, sijui km watawezana
"Jameni watu wa kenya si mutaniua na majina, majina mumenipea meeengi! Mulianza William, mukaenda Samoyee Rutto, kipchirchir, tena kasongo a.k.a Zakayo, mukaniita hustler, kuna jina ingine au mumemaliza? Aah! Chapati, salaaalah! hii tena ni gani jameni!..."
 
Jamaa kaona Bora nichague akili mambo ya kuchagua tako na sura yatanifelisha kmmke...Bora abebe mkalenjini maana akili na exposure ipo, kumbuka Jamaa pia exposure, confidence na aura ya kitajiri anayo....Huwezi Kuwa na mwanamke wa Aina hiyo hivi hivi lazima muwe na vitu vya kufanana.
 
Kuoa aoe mwingine, povu watoe jobless wa Tz🤣🤣🤣

Hii ni maajabu!
 
Kuna mengine yaacheni yapite

The presidincial to attend da event not bad

But to keep big dial dah ploblema
 
Back
Top Bottom