ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hongera kwao 😊
Huenda mom atawapelekea kadi na sare za CCM.Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application iitwayo Somaapp aitwaye Isaiah Yunke anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila itakayofanyika kesho huko Narok, Kenya
Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa Charlene; Rais wa Kenya, Dk William Samoei Kipchirchir Ruto pamoja na mkewe, Rachel Ruto. Pia Rais wa Tanzania; Mh Samia Suluhu Hassan anatajwa kuwa miongoni mwa watakaohudhuria sherehe hiyoView attachment 3645909
Lazima kafanyiwa vetting ya kutosha. Jamaa wanasema ni Young billionaire( kwa pesa za Tshs)Kwenda kuoa kwa nyumba ya rais si mchezo, kijana yuko fiti kielimu na kiuchumi
Ahaha papuchi NI ile ileKijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application ya SomaApp aitwaye Isaiah Yunke anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila itakayofanyika kesho huko Narok, Kenya.
Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa Charlene; Rais wa Kenya, Dk William Samoei Kipchirchir Ruto pamoja na mkewe, Mama Rachel Ruto. Pia Rais wa Tanzania; Mh Samia Suluhu Hassan anatajwa kuwa miongoni mwa wageni watakaohudhuria sherehe hiyoView attachment 3645909
Mkizubaa ardhi yote itachukuliwa na Wakenyaa!Hatimaye tumeoa Kenya, wapunguze matani kwa ndugu wa mume sasa.
IPO mbona mkuu!Weka picha
Ukipenda boga, Penda na ua lake!Hiyo rejected material ndio anatuletea huku bongo kweli?