marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,049
- 3,252
Piga mimba fasta hiyo mutuKijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application iitwayo Somaapp aitwaye Isaiah Yunke anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila itakayofanyika kesho huko Narok, Kenya
Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa Charlene; Rais wa Kenya, Dk William Samoei Kipchirchir Ruto pamoja na mkewe, Rachel Ruto. Pia Rais wa Tanzania; Mh Samia Suluhu Hassan anatajwa kuwa miongoni mwa watakaohudhuria sherehe hiyo
OkKijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application iitwayo Somaapp aitwaye Isaiah Yunke anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila itakayofanyika kesho huko Narok, Kenya
Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa Charlene; Rais wa Kenya, Dk William Samoei Kipchirchir Ruto pamoja na mkewe, Rachel Ruto. Pia Rais wa Tanzania; Mh Samia Suluhu Hassan anatajwa kuwa miongoni mwa watakaohudhuria sherehe hiyoView attachment 3645909
Ni kweli magazeti mengi ya kenya yameandika leoKama ni kweli ingejulikana before.
Anaenda kutafuta notiHuyu Charlene tayari ni Mshangazi mana yupo over 30 kuna mnigeria Fulani alidate nae akachimba, Jamaa yeye a focus na kuzalisha Tu uyo manzi mana wakenya wajuaji sana
Dogo atafute damu safiKijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application iitwayo Somaapp aitwaye Isaiah Yunke anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila itakayofanyika kesho huko Narok, Kenya
Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa Charlene; Rais wa Kenya, Dk William Samoei Kipchirchir Ruto pamoja na mkewe, Rachel Ruto. Pia Rais wa Tanzania; Mh Samia Suluhu Hassan anatajwa kuwa miongoni mwa watakaohudhuria sherehe hiyoView attachment 3645909
Weka pichaNi kweli magazeti mengi ya kenya yameandika leo
haya au hutaki kukubali bahati ya mwenzioWeka picha
Noo concerns zangu ni kuwa wewe uwe na taarifa alafu Millard na wengine was iwe nayoohaya au hutaki kukubali bahati ya mwenzio
Oooh nimekupataNoo concerns zangu ni kuwa wewe uwe na taarifa alafu Millard na wengine was iwe nayoo