Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Wewe ni mpumbavu nani kakuambia kila mtu ana imani hizo za kipumbavu kuwa kila mtu kaumbwa sijui na huyo muumba ? Mbona wewe ni mpuuzi hivi
Daah alafu nlijua tu, kuna non believers watafika kumpopoa jamaa , anyways everybody got yp believe whatever they believe, i ‘ve no problem with that….
 
Hatutaki hayo majukumu. Hatujayadharau tumeyaheshimu tumeona ni mazito tumewaachia wenyewe.

'Kuzaliana ovyo'? Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anataka kuzaliana ovyo.

'mungu, mungu, mungu' sio kila mtu anamuamini mungu.

Hiyo ya kuandika 'kataa ndoa' kwenye comments kweli ni kosa nakubali.

Wengine tumeona nyumbani jinsi ndoa zilivyo mbaya,

Nipo tayari kubadili mtazamo wangu ila sio kwa hizo hoja.
 
Najitolea kuwa katibu mwenezi,huwezi kuwa Mwanaume kamili afu ukakataa majukumu,
Hakuna Mwanaume asiyependa familia
Hakuna Mwanaume kamili asiyependa kumiliki mwanamke anayempenda,kataa ndoa ni mashoga au hayana nguvu za kiume,
Kama unaweza kutia kwelikweli lazima uoe
 
Kwa wastani kila siku zinavunjika ndoa takribani 108, kwa nini ujiingize kwenye taasisi yenye mgogoro kiasi hicho.?? Binafsi kwenye familiy gatherings za mwisho wa mwaka nilikua naandamwa sana kuhusu kuoa, ila sikuhizi naona wamechoka hata kuniuliza maana mara yamwisho niliwaambia sipo hapa duniani kwaajili ya kuoa tu au kuishi ndoto za watu wengine.
 
Back
Top Bottom