Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Unakosea mkuu,kila Kitu unachokiona ni utaratibu hata kulala usiku nani alikufundisha ni utaratibu!
Kuoga,kuvaa,vyote ni taratibu za kijamii....
Kama tusingekuwa na taratibu basi tungelala na ndugu,dada,mashangazi etc kwasababu tuwekeana taratibu yes.

Ndoa Msingi wake ni umoja na mapenz na ushirika sisi siyó kuku kuwa tumwage tusepe ,pia hata kuku ana taratibu za kutunza matetea anayoyaingilia.
Umezaliwa umefaidika na taratibu ulizokuta KWa baba na mama yako,
Ndoa ilikuwepo millennium nyingi,watu wenye akili sana kama kina sulemani ,eistein,newton waliufata who are you?

Hii ni kampeni ya mashoga na wasagaji,
#mwanaume unawezakutia,huwezi kataa ndoa
Twende taratibu mkuu, I hope tutaelewana.

Umezungumzia utaratibu na mfumo wa maisha ambapo humo ndani pia ndio kuna ndoa. Hapo nakubaliana na wewe kwa 100%. Lakini kwenye huu mfumo wa maisha, bado kuna vitu vingi sana ambavyo ni hiari ya mtu. Mfano mmoja wapo ni ndoa na dini. Umezalia na kukuta jamii yako ni dini Fulani, automatically na wewe na kizazi chako mmeangua kwenye dini hiyo hiyo. Lakini anaweza kutokea mmoja kati yenu, kutokana na sababu zake akaamua asifatishe dini yenu au dini zote unazozijua wewe. Hapo automatically mtamuona ni mtu wa ajabu, japo ana sababu zake.

Hiyo inaenda pia kwenye ndoa. Kuna ambao hawataki kuingia kwenye ndoa, labda walikumbwa na heartbreak au hawataki kufungwa na huo mfumo. Sheria za kwenye ndoa, zinacheza kwenye wake kuanzia mmoja mpaka wanne (kwenye hizi dini maarufu mbili). Lakini unakuta mwingine labda yeye anapendelea awe kama alivyokuwa babu yake miaka hiyo, wake hata sita au saba kwa pamoja. Lakini Sheria za sasa haziruhusu, hivyo anaamua asiingie kabisa kwenye ndoa ili awe huru zaidi. Umetolea mfano wa Suleiman, hebu niambie alikuwa na wake wangapi????
 
Hamna mkuu. Ulishawahi kuona humu jf wanasema hivi?? Hhapana.
Shetani amewekeza zaidi kuangusha taasisi ya ndoa
Mkuu, watu hawafahamu kuhusu wajibu na matakwa. Wajibu ni jukumu la lazima, tofauti na matakwa, ambapo mtu ana uhuru wa kufanya jambo au la. Watu wanafikiri kuoa ni hiari, la hasha, kuoa ni lazima kwa kila binadam, regardless your income position!

Wakati Mungu anawaambia binadam wa mwanzo kabisa, kwamba zaeni mkaongezeke, hapakuwa na fedha wala shlilingi! Leo iweje fedha kiwe kigezo cha kuoa? Wengi wanakataa ndoa kutokana na sababu za vipato, japo wengine wanasingizia hawataki kero kutoka kwa hao wenza wao

Mimi nawashauri, hata kama wanaona vipato vyao. havitoshelezi, waoe tu. Kisaikolojia, Mungu ametuumba kuwa, akili inafanya kazi zaidi mtu anapokuwa amebanwa na matatizo. Hapo akili itafanya kazi ili ipate suluhisho la hali inayomkabili. Hivyo ukioa, utajikuta unapata mawazo tofauti tofauti ya namna ya kutafuta/kujiletea kipato.
 
Oh!
Na mbaya zaidi wengine hawafahamu baraka za ndoa,changamoto za wengine zinawakatisha tamaa,
Ila mateso na furaha ya ndoa maamuzi ni yao katika chaguzi za wenza wao.
Kiasili kabisa wabongo mtu akiwa anapata raha au chimbo la pesa wala hawezi kuwashtua wana au kuwashauri .

Ila ndoa mnaipigia kelele eti mnapata raha , sema tu mnataka kila mtu aoe ili wimbi la kuchapiwa wake lipungue[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Twende taratibu mkuu, I hope tutaelewana.

Umezungumzia utaratibu na mfumo wa maisha ambapo humo ndani pia ndio kuna ndoa. Hapo nakubaliana na wewe kwa 100%. Lakini kwenye huu mfumo wa maisha, bado kuna vitu vingi sana ambavyo ni hiari ya mtu. Mfano mmoja wapo ni ndoa na dini. Umezalia na kukuta jamii yako ni dini Fulani, automatically na wewe na kizazi chako mmeangua kwenye dini hiyo hiyo. Lakini anaweza kutokea mmoja kati yenu, kutokana na sababu zake akaamua asifatishe dini yenu au dini zote unazozijua wewe. Hapo automatically mtamuona ni mtu wa ajabu, japo ana sababu zake.

Hiyo inaenda pia kwenye ndoa. Kuna ambao hawataki kuingia kwenye ndoa, labda walikumbwa na heartbreak au hawataki kufungwa na huo mfumo. Sheria za kwenye ndoa, zinacheza kwenye wake kuanzia mmoja mpaka wanne (kwenye hizi dini maarufu mbili). Lakini unakuta mwingine labda yeye anapendelea awe kama alivyokuwa babu yake miaka hiyo, wake hata sita au saba kwa pamoja. Lakini Sheria za sasa haziruhusu, hivyo anaamua asiingie kabisa kwenye ndoa ili awe huru zaidi. Umetolea mfano wa Suleiman, hebu niambie alikuwa na wake wangapi????
Nawapendaga nyinyi,
Kwanza nikupe maana ya ya utaratibu; ni chochote ukifanyacho KWa mpangilio..
Mfano kutembea kwa miguu. ,Badala ya mikono,
Kukalia makalio ,unaweza badili ukatumia tumbo,.
Maana mmejikita kwenye ndoa na dini
Hivyo kuvunja utaratibu ni kuvunja tamaduni,mila ,jamii, na hata mawazo ya walio kutangulia.
Kuhusu sulemani ,uwezo alikuwa nao kama naww unauwezo oa.
Lazima Mwanaume shababi mwenye uwezo wa kutia aoe,
Ukikataa ndoa unasupport mashoga
Ndoa ni lazima ,dini si lazima ilà kumcha Mungu ni lazima
#Mashababi tuoe,
 
Twende taratibu mkuu, I hope tutaelewana.

Umezungumzia utaratibu na mfumo wa maisha ambapo humo ndani pia ndio kuna ndoa. Hapo nakubaliana na wewe kwa 100%. Lakini kwenye huu mfumo wa maisha, bado kuna vitu vingi sana ambavyo ni hiari ya mtu. Mfano mmoja wapo ni ndoa na dini. Umezalia na kukuta jamii yako ni dini Fulani, automatically na wewe na kizazi chako mmeangua kwenye dini hiyo hiyo. Lakini anaweza kutokea mmoja kati yenu, kutokana na sababu zake akaamua asifatishe dini yenu au dini zote unazozijua wewe. Hapo automatically mtamuona ni mtu wa ajabu, japo ana sababu zake.

Hiyo inaenda pia kwenye ndoa. Kuna ambao hawataki kuingia kwenye ndoa, labda walikumbwa na heartbreak au hawataki kufungwa na huo mfumo. Sheria za kwenye ndoa, zinacheza kwenye wake kuanzia mmoja mpaka wanne (kwenye hizi dini maarufu mbili). Lakini unakuta mwingine labda yeye anapendelea awe kama alivyokuwa babu yake miaka hiyo, wake hata sita au saba kwa pamoja. Lakini Sheria za sasa haziruhusu, hivyo anaamua asiingie kabisa kwenye ndoa ili awe huru zaidi. Umetolea mfano wa Suleiman, hebu niambie alikuwa na wake wangapi????
Mkuu Apo mwisho umenizungumzia mimi kabisa.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
hawapo maana kwao Ndoa ni Ajira, kichaka cha kupungizia ukali wao wa maisha
Wengine wana uwezo wao mzuri tu, lakini wanapenda kuolewa, kwanini wasiingie kwenye chama cha kataa ndoa? Je, akina dada hawa wenye uwezo wao (kifedha), wakiwafuata hawa jamaa zetu wa kiume "kataa ndoa" na kuwaomba wafunge nao ndoa, hawa vijana watakataa?
 
Back
Top Bottom