Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

No offense broh, kiuhalisia unaweza Kuta wewe ndio ndio kuna uwalakini kwenye uanaume wako. Why nasema hivyo?

Ndoa ni utaratibu ambao binadamu wameweka ili kuinteract, kuzaliana nk. Kuoa/kuolewa ni jambo muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu, lakini sio jambo la lazima. Hivyo mtu ana hiari ya ama kuingia kwenye ndoa au la. Sasa inapotokea mtu akaamua kutumia uhiari wake kuamua, alafu wewe unasema ana walakini kwenye uanaume wake, jua ni wewe ndio una huo uwalakini.

Siwasupport wenye kampeni ya kataa ndoa, ila siwalaumu maana ni hiari yao. Huwezi jua walikumbwa na nini.

Tofautisha ndoa na mahusiano ya kimapenzi. Mtu anaweza kujihusisha na mapenzi bila kuwa kwenye ndoa.
Uzi uishie hapa.... Mkuu umemaliza kila kitu.. Big up 👊
 
Wengine wana uwezo wao mzuri tu, lakini wanapenda kuolewa, kwanini wasiingie kwenye chama cha kataa ndoa? Je, akina dada hawa wenye uwezo wao (kifedha), wakiwafuata hawa jamaa zetu wa kiume "kataa ndoa" na kuwaomba wafunge nao ndoa, hawa vijana watakataa?
Shida sio pesa shida ni hao wenye uwezo wao mzuri hizo hela kazipata kwa kumvulia chupi boss au connector wake, na ataendeleza hayo hata mko ndoani kwa sababu hawa viumbe wabinafsi wanathamini pesa kuliko utu
 
Kiasili kabisa wabongo mtu akiwa anapata raha au chimbo la pesa wala hawezi kuwashtua wana au kuwashauri .

Ila ndoa mnaipigia kelele eti mnapata raha , sema tu mnataka kila mtu aoe ili wimbi la kuchapiwa wake lipungue[emoji16][emoji16][emoji16]
Unamaanisha mleta thread pamoja nasi tunaotaka muoe tunataka kuwaingiza shimoni ili tuteseke pamoja?🤣

Hakuna ndoa isiyo na changamoto,inaweza ikawa si ya kuchapiwa(kama mnavyoita wenyewe) ila tofauti na hilo suala.

Kwa changamoto za kukufanya ufungue thread na kupinga "kataa ndoa" maamuzi ni yako rafiki kwa mwenza uliyenaye n.k

Oa kijana😅
 
thubutu, wanachohitaji ni mgegedo kwa ku date kijana shabab, au ku nunua vipaka vya kuwalamba coochie

Ndoa ni Ajira kwa Mwanamke, yuko pale kupata ahueni ya maisha

fulia uone, hupewi nyuchi ng'o
kesho anadai talaka na kutaka mgao wa mali pasu kwa pasu we unabaki unatoa mimacho
Mimacho kama hii🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
sio wewe unayefumua mkeo atatafuta wahuni wakumfumua ila akija kwako kama malaika, siku ukishtuka ndo utajua hujui
Kuoa kuna sheria za enz na enz,ushauri kijana mdogo
Nenda kwa mama yako mwambie akutafutie mke,
Kama hujaja na vigelegele vya kuoa bikra,
Sasa Wewe unataka kuoa hadija wa buza Kwa mpalange!
Afu awe bikra .
Kijana Mwanaume shababi lazima tuoe,na ukiwez usioe mmoja piga tatu,ilà uweze kuwatunza
 
Back
Top Bottom