min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Toka huko nyuma mambo yalishakosewa na walio vunja mifumo dume ,ambayo iliilinda ndoa.Mi nawalaumu KATAA NDOA, kwa kampeni yao hiyo.
Kama wao wameumizwa na ndoa wakae kwa kutulia wasituharibie kizazi.
Hebu fikilia kizazi cha watoto wanazaliwa nje ya ndoa na kukosa malezi ya baba na mama ( familia).
Tutajikuta tunajenga kizazi cha hovyo sana tukiendekeza hawa kataa mdoa.
Hizi unazoziona ni matokeo tu ya waliokataa kuishi kwenye ndoa za kitapeli .