evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Kwenye Likiumbe na Litoto unamaanisha nini?Kwa hiyo mwamba wewe unamwagia ndani kwa likiumbe, likiumbe linakuzalia litoto, na wewe unalea litoto.?
Kuna watu wananakuwa wapenzi wanazaa na kulea watoto vizuri tu wanakuja kuoana baada ya miaka hata 5 huko tayari na watoto.