Kumbe mwenyekiti wa kataa ndoa yuko kwenye ndoa🙄Mkuu hakuna dhambi mbaya kama ya unafki na upotoshaji. Unawajaza ujinga vijana humu ila ww una mke.
Mungu atakuchoma kama mahindi yachomwavyo. Taratibu kwenye wavu uwe unadondosha mafuta chwii chwii kwenye mkaa
wanaendekeza udangaji hawa ng'ombe, wacha wazeekee nyumbani😂😂😂😂😂😂😂 daaah nyie jamaa mmepania alooh why lakini ?
Muongo Huyo, mie ni mpiga Nyeto hata gf sinaKumbe mwenyekiti wa kataa ndoa yuko kwenye ndoa🙄
Apostooooo🤝Siwasupport wenye kampeni ya kataa ndoa, ila siwalaumu maana ni hiari yao. Huwezi jua walikumbwa na nini.
Tofautisha ndoa na mahusiano ya kimapenzi. Mtu anaweza kujihusisha na mapenzi bila kuwa kwenye ndoa.
Daah alafu nlijua tu, kuna non believers watafika kumpopoa jamaa , anyways everybody got yp believe whatever they believe, i ‘ve no problem with that….Wewe ni mpumbavu nani kakuambia kila mtu ana imani hizo za kipumbavu kuwa kila mtu kaumbwa sijui na huyo muumba ? Mbona wewe ni mpuuzi hivi
Hivi wapo na akina dada wenye mlengo unaofanana na huu kwa upande wao, kwa maana ya wao nao kusema "kataa ndoa", wapo?Mwaka huu mtanichukia sana, si wanaume wala wanawake. Sitajali maana lengo ni kujenga. Kidogo kidogo tutakaa sawa😎😎
Mwamba siku ile tulielewana kabisa, acha vipochi manyoya vikomazwe tu.Bado tu haujaelewa maana ya ndoa inayopingwa mkuu[emoji16][emoji16]
hawapo maana kwao Ndoa ni Ajira, kichaka cha kupunguzia ukali wao wa maishaHivi wapo na akina dada wenye mlengo unaofanana na huu kwa upande wao, kwa maana ya wao nao kusema "kataa ndoa", wapo?
Hamna mkuu. Ulishawahi kuona humu jf wanasema hivi?? Hhapana.Hivi wapo na akina dada wenye mlengo unaofanana na huu kwa upande wao, kwa maana ya wao nao kusema "kataa ndoa", wapo?
Sure,..... but some people don't get that.......Daah alafu nlijua tu, kuna non believers watafika kumpopoa jamaa , anyways everybody got yp believe whatever they believe, i ‘ve no problem with that….
[emoji1787]Nawamudu dogo. I'm content
Wewe ni mkristo ?Najitolea kuwa katibu mwenezi,huwezi kuwa Mwanaume kamili afu ukakataa majukumu,
Hakuna Mwanaume asiyependa familia
Hakuna Mwanaume kamili asiyependa kumiliki mwanamke anayempenda,kataa ndoa ni mashoga au hayana nguvu za kiume,
Kama unaweza kutia kwelikweli lazima uoe