Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #201
wazazi wako ndo wali tusambazia kirusi hiki🤒Usitoe ushauri ukiwa hujaombwa kufanga hivyo. Kujipendekeza kutoa ushauri hasa kwa wanaume wenzio ni dalili za personality disorder.
Kwenye maisha jifunze kuwa kubali, watu wanao kupenda.Unayempenda hakupendi
Anayekupenda humpendi.
Based on true story daah🥲💔 itaendelea...
Ndio nimekuja kujua hivo kwa kuchekewa sana mkuu.Kwenye maisha jifunze kuwa kubali, watu wanao kupenda.
Nina marafiki wa kike, they really care 🤒🤒.Ndio nimekuja kujua hivo kwa kuchekewa sana mkuu.
Ukipendwa na malaya je?Kwenye maisha jifunze kuwa kubali, watu wanao kupenda.
😊hongera mkuu, mimi now ni kama sina rafiki wa kike.Nina marafiki wa kike, they really care 🤒🤒.
👉 Mpaka naulizwa uta oa lini 🤣🤣
Malaya kwenye upande upi??, Maana wadada wengi wauzaji tu😄🤣Ukipendwa na malaya je?
Kili kukuta kipi 🙄ndoa ni upuuzi tu
Hii comment ungejichanganya kuifafanua kwa undani kausha damu wa jf wangekushambulia kama nyuki.Malaya kwenye upande upi??, Maana wadada wengi wauzaji tu[emoji1][emoji1787]
Mwenyekiti ume sikika vyema🤣😄Hii comment ungejichanganya kuifafanua kwa undani kausha damu wa jf wangekushambulia kama nyuki.
hapana Sijawahi kuoa ila nikiona life style za wanandoa wanavyoteseka..mwenzako akinyolewa zako tia majiKili kukuta kipi 🙄
Sawa kakahapana Sijawahi kuoa ila nikiona life style za wanandoa wanavyoteseka..mwenzako akinyolewa zako tia maji
Na Wanawake wame andaliwa nini 😄🤣😄😄😄.We kula papuch tu utakuja kuoa aheraaaa..kule tumeahidiwa mabikira 72..
Acha kumpa majukumu yako mwanamke! Kuna mda mama zetu walichangia nafasi kubwa kwenye uchumi wa baba zetu lkn sio direct lkn unakuta mzee Kuna namna ndo alijitoa sana.....vaaa uanaume mazeehuyu mwanamke ataweza kuishi na mwanaume mwenye bilioni kumi kwenye akaunti? Je, anaweza kuzifanya zile bilioni kumi ziwe ishirini ama hamsini?
Kaka sija maanisha hivyo, najua Kuna direct na in direct.Acha kumpa majukumu yako mwanamke! Kuna mda mama zetu walichangia nafasi kubwa kwenye uchumi wa baba zetu lkn sio direct lkn unakuta mzee Kuna namna ndo alijitoa sana.....vaaa uanaume mazee
Kaka niaje?Fresh mkuu,, mambo vipi?