Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Umenena vyema sana.
 
Elewa hiyo. Kwani kumridhisha mwanamke kunahitaji nini, nguvu au kifua kipana au? Ni pale ambapo mwanamke amekupenda na kuridhika na wewe tu. Uliza akina Kapeace au To yeye au Evelyn Salt au Madame B wakiamua utaujua ukweli.
Sawa mkuu,
Kwamba katoto kana 25yrs karidhike kabisa kwa libaba lina 65? Kwanza ukumbuke hakuna cha kumuweka hapo zaidi ya maslahi... kwa hiyo kama sio pesa hakuna huo upendo unaousemea, wadada wenyewe kina To yeye na Atoto 😂
 
Usher Raymond hajawahi date msichana mdogo yeye ni same age au above his age.

Di caprio amedate older women zamani kwa sasa ana date wasichana wadogo wakifikisha 24 of age anaachana nao (hopefully huwa inatokea bahati mbaya) pattern imejirudia hadi imeonekana ni tabia yake.

To each his own.
 
Sawa mkuu,
Kwamba katoto kana 25yrs karidhike kabisa kwa libaba lina 65? Kwanza ukumbuke hakuna cha kumuweka hapo zaidi ya maslahi... kwa hiyo kama sio pesa hakuna huo upendo unaousemea, wadada wenyewe kina To yeye na Atoto 😂
Wewe acha hizo! kwani kazi yako kumridhisha mwanamke au kujiridhisha wewe binafsi. Kila mtu apambane na mechi zake. On the other hand, nakuapia kuna wapenzi wa sisi mababu na wanaridhika ajabu ila its up to her!
 
Sorry not sorry, Nimesikia kuwa…..

older men wanajua kufanya mapenzi (kwa aliyejitunza hana magonjwa) Wanajua passionate-love making. (malaya wa zamani) na wanaenjoy sex may be sababu wanaifanya out of it! Na probably sababu kuna mambo wameshayasettle now wapo kuenjoy sex.

Vijana wana energy, wanasugua weeeee hadi cheche! Purely sex, fujo sio love making!

Msinishike shati, hii nilisikia kwenye kikao cha mwisho nilichohudhuria kijiweni kwetu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…