Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Tangu leo nakuweka katika list ya Females wasema ukweli JF.

Nimefurahi ulivyofafanua kuwa kuna love making na Sex. Wengi wa akinamama wanapenda love making ingawa sisi wanaume tunapenda sex.

Vijana huwa wanaona wao ndiyo kila kitu akina ERoni na ujuaji mwingi.

Niseme za ukweli sisi mibabu tunayajua haya hasa baada ya kuchoshwa na mabibi zenu ambao kutwa kucha wanahangaika na Bamia, kukavu kule. Kusema za ukweli, mshangazi 26+ anipite pembeni maana yeye ashaanza kufikiria kuolewa, kujenga nyumba, kununua gari, kuwa singo mum etc. Hata mkiingia mehala elkubra eljabir, yeye anaanza kupiga bajeti atakutoa kiasi gani, mpaka hapo unadhani saa ngapi atakojoa. Vikoba hivyo!

Kibinti (marafiki zetu) 18-25 hao wao ni kucheza mara akukuchee muziki, akupe story za madisko wewe babu, mara akutoe minywele kwa sukari gulu, vurugu si vurugu. Ukimpa laki anafurahi ajabu ila 26+ ukimpa laki anafikiria million 10 anunue Vitz. Na ukiwa kizee kama mimi ukang'ang'ana na 26+ lazima ufe kwa kuhangaika na viagra maana manataka asuguliweeeeee mpaka asahau vikoba ndipo akojoe. Hapo BP itakuacha?
Hitimisha kwa kumsikiliza huyu mshangazi
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu,
Kwani wewe una umri gani?

Binafsi najua wadada below 30 hawatoshi kwenye love making, yaani wanajua kwichikwichi ile kukata mauno en the like, lakini katika ishu ya mapenzi hawajui, hawaijui miili yao vizuri, most of them hata kibohehe hawajawahi kufika. Ndio maana binafsi siwezi kudate na watu wa aina hiyo, naamini mdada 32+ hivi anaweza kuwa na utam wa kutosha.
 
Hahaha Waume za watu tena! Huyu mshangazi ajiandae kuomba maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kijana wa miaka 24 je anatakiwa kutoka Mabinti wa umri ip??
 
Hivi unajua tofauti kati ya sex na love making ndugu!

By the way wanawake wengi huwa hawajawahi kukojoa. Kipimo cha kukojoa ni wivu. Mwanamke ambaye hajawahi kukojoa huwa hana wivu ila akikojoa tu, wivu ni balaa! Ndiyo maana tamaduni za mitala, wanawake walikuwa wanakeketwa. Mwanamke ambaye hayupo katika influence ya kitu kama ulevi etc mpaka akojoe lazima awe amekupenda
 
Kuna sehemu niliwahi kusoma kwamba asilimia karibu 75 ya wanawake hawajawahi kufika kileleni katika maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…