Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio?

Anakwambia Mume wake hana muda nae sio?

Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio?

Anakwambia anakupenda sana eeeh!

Utalia siku moja.
Tayari kuna mtu amechapiwa....pole sana.

Vijana tumekuwa vijana wa hovyo sana, K ikijileta tunaichapa bila kujiuliza ni mali ya nani.
 
Back
Top Bottom