Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

Pole sana wake za watu walikuwa wachumba za watu apo mwanzo ex wangu kaolewa ila ananiletea niiache
 
Hatulali, tunapambana. Tunaumia, tunachoka, tunateseka, tunarudi nyumbani baada ya miezi 3 lwa kufight ili kesho yetu na familia zetu iwe nzuri alafu leo dogo mmoja mpaka rangi kucha za wanawake anajitamba kutembea na wake zetu kwa kuwa hatuna muda wa kukaa nyumbani, huku tumezaa na kuanza kujenga maisha ya watoto wetu.

Hakika tukimshika. Atashindwa kukaa wala kutembea maana lazima tumshughulikie hadi tuutoe utumbo wake (Upuru) nje.

Tunauchungu na maumivu tupitayo kwenye mapambano ya maisha.
Akidakwa on sport mtindueni marindq vizuri
 
Mwanamke akiwa na mwanaume mpya huwa anampondea yule wa zamani, ndivyo walivyo.

Makinika, akikwambia mume wake hamridhishi jua hata wewe ukimuoa akichepuka tena atauambia mchepuko wake wewe humridhishi.
 
FUTA la mgando au koozi jepesi litausika kijana ukikamatwa na mke wa mtuu..

Kaa mbali na mke wa mtu na wanafunzi ,malaya mpk wa buku wapo
Hao malaya wa buku wako mkoa gani ili nije, niachane kabisa na mke za watu?
 
Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio?

Anakwambia Mume wake hana muda nae sio?

Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio?

Anakwambia anakupenda sana eeeh!

Utalia siku moja.
Siyo ushauri mzuri kama kweli huyo mwanamke amemchoka mmewe avunje ndoa na afunge ndoa na kijana maisha yaendele. Tuache kulazimisha mapenzi. Wanawake wapo wengi nje na ndani ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom