Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

Dar

Ishu hapa sio Malaya au kutokuwa Malaya

Kimsingi ,mwanamke Hana tabia ,tabia huikuta kwa mumewe au mwowaji

Ndgyetu ajitulize
Huwezi chepuka kama wewe sio Malaya.
Huwezi ukawa na akili kisha huwezi Malaya saikolojia ukataa.
Umalaya na ujinga ni pacha
 
Pindi wanaume wawili mnapogundua mnamahusiano ya kimapenzi na mwanamke mmoja
Yule anaebaki na huyo mwanamke ndo mwanaume dhaifu zaidi
 
"mume wangu hatulali chumba kimoja"😱😱😱😱😱Utalia siku moja.
 
Mbona kama wew ndio unakuusu ivii [emoji846]
hapana mkuu yaani kuna muda namuambia mwanangu achana nae uyo mtie blocku mwanangu anamuinea huruma hadi najikuta nalia maana mume wake uyo mdada anafanana na jina lako la mwisho
 
Muoneshe na mwambie kuwa tunapambana usiku na mchana ili kupata amani na furaha kwenye maisha yetu. Mwambie hatuna muda wa kukaa na wake zetu sababu tunafight kwa ajili ya kesho bora. Mwambie hatuwarudhisi kama wanavyosema kutokana na kuchoka kwa sababu kutafuta na kuandaa kesho bora ya familia zetu. Mwambie tunapambana na tunapata stress tunapopambana kwa ajili ya kesho iliyo bora.

Mwambie atalipa gharama kwa kutembea na wake za watu kwani wengine tumezaa nao watoto. Mwambie atajutia maisha yake yote, mwambie yeye ndio atakiwa mke wetu nida si mrefu, mwambie ajiandae kuvuliwa ubingwa, mwambie awe anatembea na vilainishi kabisa. Mfikishie ujumbe wetu.😀😃😄😁😆
daah mbona mpka nimeogopa kumuambia hvyo mkuu

nimelia sana aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
Hatulali, tunapambana. Tunaumia, tunachoka, tunateseka, tunarudi nyumbani baada ya miezi 3 lwa kufight ili kesho yetu na familia zetu iwe nzuri alafu leo dogo mmoja mpaka rangi kucha za wanawake anajitamba kutembea na wake zetu kwa kuwa hatuna muda wa kukaa nyumbani, huku tumezaa na kuanza kujenga maisha ya watoto wetu.

Hakika tukimshika. Atashindwa kukaa wala kutembea maana lazima tumshughulikie hadi tuutoe utumbo wake (Upuru) nje.

Tunauchungu na maumivu tupitayo kwenye mapambano ya maisha.
 
mwanaume anaejitambua hachukui mke wa mtu
Ni sahihi. Katika kitu nilichokuwa nakiogopa na kukiheshimu toka ujana wangu hadi Umri huu ni wake za watu na wanafunzi. Namshukuru Mungu alinishindia na kunisaidia katika hilo.
 
Back
Top Bottom